Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

.@FizaFox, Ritz, Lizaboni, SimiyuYetu, Rutashoborwa and CO njooni huku msijifiche muone laive, manyanyaso ya MaCCM na Serikali yake kwa WaTZ!!
 
Kala mlungula chezea dola wewe

awadh kagawa kama ifuatavyo 1. nchimbi dola 10 elfu
2.kova dola elfu 7
mtoa habari ataendelea niletea habari
nami nitaweka hapa moja kwa moja
 
Mkuu Ngoso amesema ni ACCT hafanyi kazi za Baniani tuu, bali na za watu wengine!!
Mshahara na marupurupu yake makubwa!!
Na huyo baniani sio Polisi wala Mahakama!! Haki ni lazima itendeke!!
 
home shoping center namsadia head of state kazi ya ndani
kwani wewe hujui
 
hivi jamhuri kuficha jina lake wakati picha imeiweka ndio nini sasa?
 
Mkuu Ngoso amesema ni ACCT hafanyi kazi za Baniani tuu, bali na za watu wengine!!
Mshahara na marupurupu yake makubwa!!
Na huyo baniani sio Polisi wala Mahakama!! Haki ni lazima itendeke!!

You might be correct!!!!! Haki lazima itendeke nakubaliana na wewe!!!!
Ila marupurupu na mishahara in relation to assets na cash aliyoko nayo na milolongo ya accounts leaves alot to be desired pia!!!!!!

Sodomy is unacceptable come shine come rain but the cloud is heavier as well!!!!!!
 
Chezea pesa weye; unapigwa unaripoti na polisi hawafanyi kitu; na wzr mambo ya ndani kimya; na wanaharakati na watu wa haki za binadamu kimya; na.......
 
Nani Kakwambia Kama hakuna ushahidi wa wizi wa mdosi?, au ulitaka mdosi aelezee mwenyewe ushahidi uliopo dhidi yake? upo tena wa wazi kabisa, tena mdosi mwenyewe kaonyeshwa ushahidi dhidi yake akajifanya anajua, akataka kukimbilia kenya, mwenye mali akamshtukia akamrekebisha akachukua chake, kama kapakuliwa, hao waliompakuwa ally hajawatuma wakampakuwe, walitumwa wakambane arudishe hela ya ally.
Nashangaa hapa mnamtetea mwizi, adhabu za mwizi zinatofautiana, kuna watu mwizi wanamkata mkono, kuna wengine wanakata mikono na miguu, kuna wengine wanapigwa faini, wengine jela miaka kadhaa na wengine wanachoma moto, sasa hapa mnavomshikia bango mshkaji siwaelewi.

wewe huyu mshenzi nani wako? Maana ushahidi wa yeye kuibiwa bilioni 16 unao wewe peke yako, habari ya kuwa eti "walitumwa wakambane tu" wewe umejuaje?
Haiwezekani niibiwe bilionio 16 halafu nimnyang'anye mtu vijumba viwili vitatu. Na kwa upande wa pili katika hali ya kawaida haiwezekani niibe bilioni 16 halafu nikilipiziwa kisasi nianze kuitangazia dunia nimelawitiwa. Ni wazi hapa muhindi kaonewa.
 
it is just his words,hakuna ushahidi kwamba walimbaka uwe wa kidaktari ama eyewitnes,huyu mdosi aweza kuwa nae ni msanii..kesi ngumu hii.

ushahidi wa documents za kuhamisha mali zake zote kwa siku moja je, awadh anaweza kutoa risiti za manunuzi halali tena yaliyolipiwa kodi? Na benki alizoingizia fedha hizo?
 
Kuna huyu anitwa gogle sijui kwanini anamtete ali inaelekea ni ni wale wale wanyakazi ali ambao wantumikishwa kama mbwamma ke
 
wewe huyu mshenzi nani wako? Maana ushahidi wa yeye kuibiwa bilioni 16 unao wewe peke yako, habari ya kuwa eti "walitumwa wakambane tu" wewe umejuaje?
Haiwezekani niibiwe bilionio 16 halafu nimnyang'anye mtu vijumba viwili vitatu. Na kwa upande wa pili katika hali ya kawaida haiwezekani niibe bilioni 16 halafu nikilipiziwa kisasi nianze kuitangazia dunia nimelawitiwa. Ni wazi hapa muhindi kaonewa.

Hakuna cha kuonewa hapo, mdosi kagoma kurudisha cha watu kiroho safi, alitaka ishu ikamalizwe mahakamani, akaibie wajinga wajinga ndio wanaokimbilia mahakamani. Sisi wengine tuna uwezo wa kuchukua haki yetu bila msaada wa mahakama.
 
sawa awadh
 
And this is what happened!!
 
Kumbe uhasibu unalipa wacha name mi nikasomee ii Kitu nije nipige ela kama za Hugo mdosi
 
Back
Top Bottom