nkosikazi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2010
- 361
- 337
Nakubaliana na wewe. Umri miaka 32 na una nyumba Nairobi na Uhuru Heights na magari mawili na $100,000 ndani? Kuiba kaiba ila ndio kakutana na mbabe aliyepitiliza!Inaonekana huyu mhindi alizipiga kweli hizo bilions ubaya amekutana na mtoto wa kiarabu nao wanakuaga wabaya kwelikweli.