Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Japo wote ni wahindi, Watumwa wetu, Policcm ,wanajivunjia heshima ndani ya jamii
 
Tusilalamike sana jamani,kupanga ni kuchagua!Chama chenye Serikali tumekiweka wenyewe na hata uchaguzi ujao tutakiweka chama kitakachounda Serikali ijayo.Sasa yanayo tupata sasa nistahili yetu na hata yatakayo tupata baada ya serikali ijayo kuundwa ni stahili yetu pia! Umakini kwa kila jambo ni muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu!
Usipotoshe bwana kuchagua CCM haina maana ya kuchagua haya yanayotokea!
 
Hivi wewe uko serious kweli? Hakuna uthibitisho wowote wa huyo mshenzi kuibiwa, lakini upo uthibitisho wa unyama wake dhidi ya mdosi. Kama kweli mhindi kaiba bilioni 16 si angeenda zake tu, mtu anafikia hadi hatua ya kujilipua kwa kueleza vyote alivyotendewa kama hivi wewe bado tu unaleta propaganda?
it is just his words,hakuna ushahidi kwamba walimbaka uwe wa kidaktari ama eyewitnes,huyu mdosi aweza kuwa nae ni msanii..kesi ngumu hii.
 
CCM ni chama cha wafanya biashara.Kama pembe za ndovu zinasafirishwa,madawa ya kulevya na uporaji wa mali za umma,lakini wahusika hawapelekwi mbele ya sheria,ndo huyu jamaa anayetafuta haki atapata?.Na kama mtoto wa mkubwa ndiye shareholder kwenye kampuni,basi ujue ni ngumu huyu jamaa kusaidiwa,kuna watu wako juu ya sheria.Ila ujue,sio yeye pekee ambaye amedhulumiwa,wako wengi ambao wanasumbuka kutafuta haki bila mafanikio.Ila siku yaja ambapo haki itatendeka.
 
Nimesoma maoni ya wadau hapa chini na yote yanasikitikia kitendo hiki,mimi sina cha kuongeza ila niseme tu kwamba kama wewe Ally Awadh, bosi wa Lake oil kweli umefanya haya mambo ndani ya nchi yangu,basi kwa niaba ya vijana wa nchi hii wenye mtazamo kama wangu,nakuonya kwa hasira sana na bila chembe ya utani hata kidogo,Raisi wangu anaweza kuwa dhaifu,Jeshi letu la polisi unaweza kulinunua,lakini huwezi kutununua sisi vijana wote!Hivyo basi tunakuhakikishia kwamba kuanzia leo umekuwa adui wa taifa hili na tutakushughulikia tu,it might take time but I can guarantee you that u will eventually face justice,legally or illegally!
 
Hata Hivo hawa wahindi wa naye la sana chafu wacha zipunguzwe
 
Kwamba amemuonyesha maiti ktk simu,na kuna watu aliwaua na kuwazika katika shamba lake MSOGA!!!!Awadh jamaa yangu kweli umeyafanya haya??Sasa hapa Swala 5 zetu huwa zina maana gani??Kuanzia leo nitakuangalia na kukaa na wewe kwa tahadhari sana,mana sikutegemea we rafiki ufanye hivyo
 
Bahati nzuri nawajua wote waliotajwa hapa, na labda nieleze kilichotokea.

Kuna mmiliki wa LAKE GROUP Bw. Ally Edha Awadh. Kampuni hii inamiliki LAKE OIL, LAKE GAS, LAKE TRANS, GULF CONCRETE & AFRICAN INLAND CONTAINER DEPOT iliyoko nyuma ya Tazara.

Mhusika (Mteswaji) alietajwa hapa anaitwa ALIASGER na aliajiriwa na Bw. Ally kama Chief Finance Officer wa LAKE OIL ambayo ndiyo kampuni kubwa katika ndani ya LAKE GROUP. CFO wa kampuni zilizobaki alikua Bw. Choudary ambae kama Aliasger nae ni mhindi.

Taarifa zilimfikia Bw. Ally kutoka kwa Choudary kua Aliasger ameiba pesa nyingi. Na kwa vielelezo walivyopata vilionyesha kweli Aliasger aliiba,sema sasa ni hela ambazo sio zote zinaelezeka. Yaani unaiba huku vitabu vyote havionyeshi loss.

Hapo ndipo Ally alipoamua ku-deal na Aliasger kwa nguvu zote ili kurudisha mali yake.

Baada ya hili sakata, vitu vitatu vilihisiwa vikihusisha wahusika hawa watatu (Ally, Aliasger & Choudary)

Ally anatajwa kua pengine alitumia hasira na kumkomoa Aliasger kwa vile tu Aliasger alikua mbioni kuhamia Camel Oil ambayo ni kampuni adui na Lake Group.

Aliasger anatajwa kua pengine ni kweli aliiba kutokana na utajiri aliokua nao (nami naamini hili)

Choudary anatajwa kua pengine alimchongea Aliasger ili apate Credit kutoka kwa Ally, pia apewe U-CFO wa group ikijumuisha LAKE OIL aliokua akiushikilia Aliasger!!

Ni hayo kwanza!!
 
hivi na huyu akila tindikali silaha ya wanyonge naye auhurumiwe malipo ni hapa hapa nimelia sana. sikujua kuwa hapa ni tz. hicho kituo cha obey ni majanga
 
Kwamba amemuonyesha maiti ktk simu,na kuna watu aliwaua na kuwazika katika shamba lake MSOGA!!!!Awadh jamaa yangu kweli umeyafanya haya??Sasa hapa Swala 5 zetu huwa zina maana gani??Kuanzia leo nitakuangalia na kukaa na wewe kwa tahadhari sana,mana sikutegemea we rafiki ufanye hivyo

Mwambie huyo rafiki yako awe anatembea na wanausalama kila siku la sivyo!Hili tukio limewauma Watanzania wengi sana na kusema ukweli Watanzania wamechoka kuona Wahalifu kama hawa wanatamba tu mitaani kama kwamba nchi hii haina vyombo vya sheria.Iko siku Watanzania hawa waliochoshwa na utawala huu wa waendekeza rushwa wataanza kuchukua sheria mikononi dhidi ya mafedhuli haya kama wanavyowafanyia vibaka wa mitaani.Ajifunze yale yaliyompata mwenzie wa Home Shopping Center!!
 
Bahati nzuri nawajua wote waliotajwa hapa, na labda nieleze kilichotokea.

Kuna mmiliki wa LAKE GROUP Bw. Ally Edha Awadh. Kampuni hii inamiliki LAKE OIL, LAKE GAS, LAKE TRANS, GULF CONCRETE & AFRICAN INLAND CONTAINER DEPOT iliyoko nyuma ya Tazara.

Mhusika (Mteswaji) alietajwa hapa anaitwa ALIASGER na aliajiriwa na Bw. Ally kama Chief Finance Officer wa LAKE OIL ambayo ndiyo kampuni kubwa katika ndani ya LAKE GROUP. CFO wa kampuni zilizobaki alikua Bw. Choudary ambae kama Aliasger nae ni mhindi.

Taarifa zilimfikia Bw. Ally kutoka kwa Choudary kua Aliasger ameiba pesa nyingi. Na kwa vielelezo walivyopata vilionyesha kweli Aliasger aliiba,sema sasa ni hela ambazo sio zote zinaelezeka. Yaani unaiba huku vitabu vyote havionyeshi loss.

Hapo ndipo Ally alipoamua ku-deal na Aliasger kwa nguvu zote ili kurudisha mali yake.

Baada ya hili sakata, vitu vitatu vilihisiwa vikihusisha wahusika hawa watatu (Ally, Aliasger & Choudary)

Ally anatajwa kua pengine alitumia hasira na kumkomoa Aliasger kwa vile tu Aliasger alikua mbioni kuhamia Camel Oil ambayo ni kampuni adui na Lake Group.

Aliasger anatajwa kua pengine ni kweli aliiba kutokana na utajiri aliokua nao (nami naamini hili)

Choudary anatajwa kua pengine alimchongea Aliasger ili apate Credit kutoka kwa Ally, pia apewe U-CFO wa group ikijumuisha LAKE OIL aliokua akiushikilia Aliasger!!

Ni hayo kwanza!!

Hata kama kaiba sharia angempeleka police kumshtaki lakini sio kumlawiti kumtesa na kumnyanganya mali zake.
Huuu ni ufedhuli na jeuri ya pesa tu na yaani kajisahau kuwa huyo Edha atarudi kwa mola wake akiwa mtupu...mabaunsa wake ndio hao wa kwanza kapeleka jeneza lake mbio.hatokwenda nao ndani ya kaburi watamfukia kwa dingo na kumwacha pekee yake na lake oil ataicha watu watakula
 
Back
Top Bottom