crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,210
Hii kesi itazimwa kimya kimya na hili hazeti liyaomba radhi mda si mrsfu hii ndo tanzania yetu. Hawa jamaa hakuna kitu watafnywa kuna muhindi mwanza alifunngwa na fuad eidha hakimu lipelekwa na ndege kwenye mpaka mwanza siku hiyo hiyo jamaa alifungwa. Ogopa hawa jamaa nchii waniongoza wao. Sijui haki za binaadam wako nao pia?labda mlalamikaji awe na yusuph manji ndo ataweza.lakin hata rais wa nchi hataweza
Wwandishi wetu na sio makini kila siku wanaenda press ya Afande Kova wakishapewa soda na biscuti basi wanamuogopa kumbana masuali kisawasawa.wao kama wanafata soda tu.
Mbaneni kwa masuala kama haya ambayo yanahusu jeshi la pollisi kuwa goi hoi.tuhuma zinatajwa kuna wafanyakazi wengine wamezikwa kwenye shamba polisi kwa ninni wasiende na mbwa huko?
Hebu wandishi wajibikeni