Sasa kwani kuita mafisadi panya we unaumia nini? au na wewe ndio mmojawapo nini? Panya ni panya hawezi kuwa paka.
kama vile ccm walivyobatiza rushwa jina la takrima,una maana ole milya angetafuta lugha laini kidogo ,kweli magamba akili zenu zimelewa madarakaHicho ndicho kiswahili na ndio lugha stahiki aliyopaswa kuitumia. Kwa nini kuchagua mbadala utakaokuja kum-cost mbele ya safari?
Lugha za kistaarab ni muhimu. Lazima CDM wajitofautishe na wanaowapinga. i.e Lucinde!
bora uwaambie hawa wasiosikia na kuona ukweli,wamezibwa kwa kupewa vikofia na khangaSerikalini kwenyewe kumejaa 'Panya'.. Kama hamjui tafsida mtateseka sana.
bora uwaambie hawa wasiosikia na kuona ukweli,wamezibwa kwa kupewa vikofia na khanga
No, hazina mchwa bali zina VIWAVI JESHI!
No, hazina mchwa bali zina VIWAVI JESHI!
mchwa au panya lina ubaya gani kwa watu wanao itafuna manispaa ya arusha ulitaka tuwaitaje..
Halmashauri ya jiji la Arusha ina Panya, mchwa, viwavijeshi, siafu, kenge, kunguru, nzige...kunaitajika pestcide itakayo ua bila kubakiza kitu hapo...
Safi sana Millya kauli ya Kimapinduzi hiyo...
Sijaona hoja ya msingi hapa zaidi ya uoga wa mleta thread, sisi huku kwetu Ukonga kila tukifanya mikutano tunawaita ccm ukoo/familia ya panya; baba, mama, shangazi, mjomba, babu, bibi, mtoto na mjukuu walio ndani ya system ya ccm ni wezi.
Labda nikuulize mtoa malalamiko ni lini panya walikula haki ya jasho lao zaidi ya kutuibia kila kukicha?

"Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe, mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu."
Kauli kama hizi zikiendelea zitakuja kukugharimu wewe pamoja na chama chako ulichojiunga juzijuzi. Au na wewe ulikuwa panya kabla ya kujiondoa CCM?