James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

hii midahalo ya wenyeviti wa vyama vya siasa ktk kipind hiki ni kwa faida gani? yani kikwete aende kwenye mjadala na kina mbatia na makaidi? wakaongee nini sasa wakati wote sio wagombea wa urais. mengine tumemuelewa ila hili la mdahalo ni kioja
 
Mbatia...safari za raisi kukatwa asilimia 80..kwamfano degree za heahima raisi aletewe au wapokee mabalozi
 
Tume ya uchaguzi kesho tunataka tamko.la sivyo mruhusu kampeni zipigwe usiku na mchana.mkilinyamazia hili msije kusema ccm wanafujo. Hizi ni rafu za wazi kabisa.
 
Du! Ukawa hadi raha yaani ni kulala usingizi mtamu . Huku ni peopleeeeez kila point anayoongea watu wanashangili peopleeeez!. C cm mnalo mwaka huu kwani jiwe mlilolikataa limekuwa jiwe kuu la ukawa . Lowassa atoshaaaaa!. Hutaki kalareeee!.
 
Mbatia...mabudha mashehe maaskofu waendelee kutuombea..hakuna ubaguzi wa aina yoyote hatubagui mhindi wala yeyote
 
tume ya uchaguzi kesho tunataka tamko.la sivyo mruhusu kampeni zipigwe usiku na mchana.mkilinyamazia hili msije kusema ccm wanafujo. Hizi ni rafu za wazi kabisa.
acha wivu wewe gamba huu mwaka mshangao kama umekamatwa ugoni....
.
.
.....!
 
Back
Top Bottom