Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe ni kilaza na mkurupukaji unayehitaji kufikirishwa, utaamini hii stori!Wataalamu wameshajumlisha safari zote za Rais wetu za kusafiri nje ya nchi tangu aingie madarakani na kupata JUMLA ya miaka 6 kati ya 10, inamaana Rais amekaa ndani ya nchi miaka 4.
Kama hili Lina ukweli nimeshangaa sana tena sana! Nimejiuliza aliyajuaje matatizo ya nchi yake?
UPDATES:
Mbatia analalamikia vitisho vya Mgombea wa CCM, Magufuli kuwa wakiwachagua wapinzani nchi itaingia kwenye machafuko
Mbatia: Watu wameanza kupoteza maisha, wana UKAWA wanadhalilishwa na wengine kutekwa
Mbatia: Hali imeanza kuwa tete, vitisho vya kila aina vimeanza. Tumedhalilishwa sana, tumeitwa matusi ya kila aina.
Mbatia: Lowassa si mdini, alikuwa anataka watanzania wamwombee. Mhe. Lowassa hajaenda kwenye nguvu za giza. Hajatumia viungo vya albino, ameenda kuomba viongozi wa dini wamwombee; udini wake unatoka wapi?
Mbatia: Tunawashukuru Lowassa na Sumaye kwa nia zao njema kuja Upinzani kuongeza nguvu ili tuyafanye mabadiliko ya kweli
Mbatia: Hata CCM wangemweka malaika, si rahisi kupata mabadiliko bila kufanya mabadiliko ya mfumo.
Mbatia: CCM wanasema usichague chama, chagua mtu. Watanzania wanatakiwa kujua kuwa Magufuli ni CCM, na hawezi kujitenganisha na CCM. Huwezi kulisukuma gari ukiwa ndani yake, lazima utoke ndipo ulisukume. Mabadiliko ndani ya CCM hayawezekani
Mbatia: Tumefanya utafiti, tuna uhakika wa ushindi mwaka huu
Mbatia: Hatutawapa CCM nafasi ya kufanya machafuko ndani ya Taifa hili
Mbatia: CCM hawana hati miliki ya kuitawala Tanzania hii. Watupishe tufanye mabadiliko haya kwa utulivu na amani.
Mbatia: Sumaye, Lowassa wana uzoefu mkubwa wa kuongoza Serikali, uwezo tunao! Tunao kina Mungai, Msindai, Mgeja n,k na wanao uzoefu wa kuongoza Serikali.
Mbatia: Limeibuka suala la ukabila. Ni aibu iliyoje? CCM wanahubiri ukabila, ukanda bila aibu yoyote!
Mbatia: Ilani ya Uchaguzi ni mkataba kati ya mpiga kura na mpigiwa kura; tuwaulize CCM Ilani yao iliyopita imetekelezwa kwa kiasi gani kabla hawajaja na ilani mpya. UKAWA tunayo ilani ya pamoja
Mbatia: Tunawataka CCM waje tufanye midahalo kwa hoja
Mbatia: Wenyeviti wa vyama wawekwe kwenye midahalo ili UKAWA tupambane na CCM kwa hoja na watanzania wajue pumba na mchele
Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika!
Mbatia anafafanua wapi watapata fedha za kufanikisha yale wanayoahidi kwenye kampeni.
Mbatia anadai Safari za Rais hazikuwa na tija kwa Taifa.
Mbatia: Lowassa na Serikali yake wakiingia madarakani wanao uwezo wa kupunguza kodi kwa wafanyakazi
Mbatia: Tukinyimwa haki yetu kwa mbinu chafu Hatutaki kuona yaliyotokea Kenya yakitokea Tanzania
Prof. Baregu ametoa ufafanuzi juu ya gharama za safari za JK na athari zake kwa Taifa (pamoja na gharama za kuingilia shughuli za watendaji walio chini yake na kutokuwepo kwake nchini)
Shaweji Mketo (CUF) pia ameendelea kuongelea safari za JK na athari zake kwa Taifa; amegusia pia teuzi zilizofanywa jana na vikao vingine vya kiutendaji vinavyofanywa na Rais Kikwete nyakati hizi.
Mbatia kahitimisha kwa kusema "Tanzania bila CCM Inawezekana"
Asanteni
Nilikua namuheshimu baregu hivi unawezwaje kuandaa tathmimi mbovu hivi au ndiyo kukalia au kuzikodisha alkali kwa jambazi lowassa huku.
Safari za jk wakati wa kampeni inasaidia nini, kupoteza muda kumuongelea jk mtu ambaye tayari wananchi na chama chake chenyewe kimemtenga na kumchoka ni kupoteza muda tu na cheap propaganda za kuhadaa watu . Wangeongelea ilani yao lowassa aliyosema ipo kwa tovuti, wangeongelea na ahadi zao na summary ya kampeni mikoa yote waliyopita hadi sasa na watu wa ngapi, viongozi wa ngapi Mae neo hayo wamehamia ukawa, specifics za kampeni siyo upuuzi wa mtu anayeondoka na ambaye hata ikimuattack tayari watu wanamchukia na hupati extra points..
Mdahalo tu nahitaji lowassa awepo na magufuli siku ya mwisho Kabla ya kupiga kura.
Pata coca baridi..taifa linahitaji vijana kama ww unaejitambua
Alikuwa anaongea kama anaongea na watoto wake. Huyu jamaa nilikuwa namheshimu sana lakini hotuba yake jana nimemdharau saaaana. Eti anataka mdahalo na mwenyekiti wa ccm na wa ukawa, shame on him, tangu lini ukawa ikawa chama.....bila aibu anasema kuna ukawa aina tatu....hii imethibitisha kama alivyosema mzee warioba ukawa wamepoteza uelekeo na maelengo yao ya awali na zilizobaki ni ghiliba tu kwa watanzania.
Anasema wamefanya utafiti kwamba wanashinda uchaguzi, watueleze utafiti ulifanywa na nani na lini na matokeo yake ni yapi?
waulize twaweza kwanza? K..nge we