James Mbatia na Siasa za maji-taka

Anawarahisishia njia wale vijana(Machali,Mkosamali & Kafulila) warudi kwenye Chama cho(CHADEMA) Kwani kule wapo uhamishoni.

Hofu ya Mbatia ni kupoteza uenyekiti kwa mmoja wa hawa vijana machachari.
 
Hebu ngoja niandike list yangu hapa

1. Masumbuko Lamwai
2. Agustine Mrema
3. James Mbatia
4. Mtikila
5. Samwel Sitta
6. Nape Mnauye
7. Shibuda

Hawa wanasiasa hawaeleweki eleweki - hubadilika kutokana na majira au namna walivyoamka siku hiyo.
 
katika hali inayoonesha kufilisika kisiasa na kutumika na chama cha mapinduzi, bwana mdogo James Mbatia amesikika akikosoa kwa mtindo wa mafumbo waheshimiwa wabunge wanaoichagiza serikali huku akitumia maneno kama "wanapandikiza chuki". Bila kutaja ni chuki gani wala kutaja ni wabunge gani hao, Mbatia, aliyepewa air time ya kutosha na TBC kwa ajili ya kumwaga upupu huo hakuwa na la maana la kuzungumza zaidi ya kuishia kulalamika na kukashifu.

my take:

Tumekusikia bwana mbatia; hao unaowaona hawafai sisi ndiyo tunawataka na tutaendelea kuwachagua daima kwa sababu hawana mabo ya kishosti-shosti.
Kibaraka wa CCM. Alipewa airtime kubwa sijawahi ona TBC ya Mshana. Huyu naye bure kabisa anawaangusha wapiganaji. Bure kabisa, taka taka
 
Hivi kale kamchezo ameacha au bado?Halafu amepungua sana sijui tayari au msongo wa mawazo baada ya kuukosa ubunge wa Kawe.
 
katika hali inayoonesha kufilisika kisiasa na kutumika na chama cha mapinduzi, bwana mdogo James Mbatia amesikika akikosoa kwa mtindo wa mafumbo waheshimiwa wabunge wanaoichagiza serikali huku akitumia maneno kama "wanapandikiza chuki". Bila kutaja ni chuki gani wala kutaja ni wabunge gani hao, Mbatia, aliyepewa air time ya kutosha na TBC kwa ajili ya kumwaga upupu huo hakuwa na la maana la kuzungumza zaidi ya kuishia kulalamika na kukashifu.

my take:

Tumekusikia bwana mbatia; hao unaowaona hawafai sisi ndiyo tunawataka na tutaendelea kuwachagua daima kwa sababu hawana mabo ya kishosti-shosti.

Nillisha sema ww lazima nikuoe , lazima !
 
Siasa za Mhe Mbatia tunazozifahamu hazina tofauti na za wajomba zake CDM. Ni mwanasiasa uchwara km wenzake wa CDM. Kuna kipindi alisikika akisema 'damu itamwagika'.

Ni mabadiliko makubwa kama atakuwa ameng'amua kwamba CDM wanapandikiza mbegu za chuki miongoni mwa Wa tz.
Kama kuna mbegu CDM wanapandikiza hakika itaota kwako na wenzako wote wenye fikra hizo ila watanzania tulio wengi tunajua kinachopandikizwa na CDM ni mageuzi ya kweli kutoka fikra mgando na kuibiwa rasilimali zetu.
 
Back
Top Bottom