James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
"Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama amekosea kweli ama unalifungia kanisa lake? Hizo ndizo athari za hofu za kutokuwa na utulivu wa fikra na kufanya maamuzi yaliyo sahihi" James Mbatia
 
Tanzania ina magereza ya kutosha?

CCM malizeni watu wote kuwapeleka magerezani wanaokemea uovu wenu
 
Back
Top Bottom