James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

Ha ha haaaaaa,
watu weeweeee!.
Cdm speed govner yawezawekwa ama,km mtoaj atatoa tu coz SPECIAL SEATS znaenda kufutwa
 
Mbunge wa jimbo la Kahama ndugu James Lembeli (CCM) amewaeleza bayana viongozi wa CCM wilaya ya Kahama kuwa hana hamu tena na hataki kuisikia CCM.

James Lembeli hata hivyo hajabainisha rasmi mustakabali wake mpya wa kisiasa ingawa habari zilizozagaa mjini Kahama ni kuwa mbunge huyo aliyemaliza muda wake yupo mbioni kutimkia Chadema.

Aidha katika hatua nyingine, mbunge wa viti maalum CCM ndugu Esta Bulaya naye amesema wazi kuwa hana tena mpango wa kuendelea kubaki CCM.

Mbunge huyo machachari bado hajadokeza chama atakachohamia na/au kuachana na siasa na hakuna uvumi wowote unaomhusu ulioenea au kuenezwa mpaka sasa.

Nikusaidie ili uongeze ufahamu,bulaya kuhama ccm ni dhahiri yangu mwAnzo.lazima amfuate mmewe mdee.pili ester is still young na ametiwa ujinga tu.take my word kuna uwezakano tusimsikie tena bunge lijalo.
 
Limbeli akifurahi kuwa chadema
 
Attachments

  • 1437302665105.jpg
    1437302665105.jpg
    71.8 KB · Views: 753
Bulaya kwisha kisiasa,maana hutomtoa wasira bunda kama ulivodanganywa na mumeo halima mdee.
 
[h=5]Ester Bulaya
[/h]1 hr ·

Habarini watanzania, nimesema nitagombea jimbo la Bunda mjini lakini sitogombea kwa tiketi ya CCM, sina ugomvi na CCM wamenilea na nimekulia huko, na kutogombea kwangu kupitia CCM kusihusishwe na mtu na nafasi ya Urais. Ila nimelitumikia Taifa langu nikiwa CCM naona nitalitumikia Vizuri zaidi nikiwa kwingine. Kumbukeni chama ni njia ya kupita ila umuhimu wa kulijenga Taifa letu ni la watanzania wote bila kujali vyama vyetu. Mungu ibariki Tanzania
 
Karibu Chadema Bulaya uongeze jeshi la ukombozi wa kweli umahili wako ktk mambo ya msingi tunautambua.
 
Watashindwanishwa na wakongwe wa chama, kama hawatapita imekula kwao! hakuna kupata nafasi ya ubunge automatic eti kisa umetoka ccm. Kama lengo ni hilo CDM siyo sehemu yake labda wajaribu TLP, ACT, na CCK. Ila tunawakaribishaa sana CDM na wajue vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Mbunge wa jimbo la Kahama ndugu James Lembeli (CCM) amewaeleza bayana viongozi wa CCM wilaya ya Kahama kuwa hana hamu tena na hataki kuisikia CCM.

James Lembeli hata hivyo hajabainisha rasmi mustakabali wake mpya wa kisiasa ingawa habari zilizozagaa mjini Kahama ni kuwa mbunge huyo aliyemaliza muda wake yupo mbioni kutimkia Chadema.

Aidha katika hatua nyingine, mbunge wa viti maalum CCM ndugu Esta Bulaya naye amesema wazi kuwa hana tena mpango wa kuendelea kubaki CCM.

Mbunge huyo machachari bado hajadokeza chama atakachohamia na/au kuachana na siasa na hakuna uvumi wowote unaomhusu ulioenea au kuenezwa mpaka sasa.

makapi yatajulikana mapema
 
[h=5]Ester Bulaya
[/h]1 hr ·

Habarini watanzania, nimesema nitagombea jimbo la Bunda mjini lakini sitogombea kwa tiketi ya CCM, sina ugomvi na CCM wamenilea na nimekulia huko, na kutogombea kwangu kupitia CCM kusihusishwe na mtu na nafasi ya Urais. Ila nimelitumikia Taifa langu nikiwa CCM naona nitalitumikia Vizuri zaidi nikiwa kwingine. Kumbukeni chama ni njia ya kupita ila umuhimu wa kulijenga Taifa letu ni la watanzania wote bila kujali vyama vyetu. Mungu ibariki Tanzania

Karibu ACT Wazalendo Ester
 
Limbeli akifurahi kuwa chadema

Wakati zitto akiparurana na karamagi juu wa mkataba wa mgodi Lembeli alikaa kimya kana kwamba issue ile haikuwa jimboni kwake. Lembeli alikataa kutoa maoni yake kwenye tume ya bomani juu ya urekebishaji wa mikataba ya madini, leo dhahabu imekwisha na mgodi unafungwa mwisho wa mwaka huu huko chedema atatetea maslahi gani ya wana chadema aliyoshindwa kuyatetea kwa miaka kumi aliyokaa ccm?
 
Bulaya kwisha kisiasa,maana hutomtoa wasira bunda kama ulivodanganywa na mumeo halima mdee.
Nijuavyo, moja ya vigezo kwa wagombea CDM ni ushiriki wako katika kukijenga chama. Bulaya fails this test, hata kama angehamia CDM. Kuna watu wametumia rasilimali zao nyingi kuijenga CDM huko Bunda nao wanautaka ubunge, utampaje mtu anayekuja leo kwa kutaka ubunge na si kwa mapenzi aliyonayo kwa chama? Wachinjane tu hukohuko kwao ccm.
 
Back
Top Bottom