Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Mtoto huyo ni damu yako kama ambavyo walivyo hao uliozaa na mke uliye naye. Tena nakushauri mtunze vizuri maana kipata tabu au kusoneneka vitawapata watoto wako kwa sasa, na kwa bahati mbaya akifa kwa uzembe wenu atamaliza hao watoto ulio nao. Mchukue mtoto, tafuta mfanyakazi ambaye yeye atakuwa ana mshughulikia mtoto huyu tu. Pia athma inapona, tena bila wasiwasi, tafuta wataalam wa dawa za mitishamba (siyo waganga wa kienyeji). Na tumbo lina shida gani? Hebu eleza magonjwa ya huyo mwanao hapa upate ushauri wa dawa. Tatizo mnakimbilia sana kwa madawa ya kizungu mnaacha yale ya mababu zetu!! Yale ni mwisho wa kazi tusiyadharau, cha msingi jua matumizi yake sahihi!!