Jambo limezua Jambo.

ni hivi mtoto wangi ningemlea mwenyewe bab yake angeleta matunzo tu.....na huyu mtoto sio wa bahati mbaya walipanga yakapangika, bac na mama ackwepe jukumu la kumlea mwanae akisaidiana na mzazi mwenzie.
Ila hayupo tayari kumlea huyo mwanao aliyemzaa kwa kupanga....baba mzazi akae kimya?
 
Ila hayupo tayari kumlea huyo mwanao aliyemzaa kwa kupanga....baba mzazi akae kimya?

mbona baba wa watu hajakaa kimya?...kashasema atamtunza kwa kila kitu....bado tutarudi kulekule, anatakiwa amlee mwanae coz kama alipanga alitegemea nani aje amlele?
 
mbona baba wa watu hajakaa kimya?...kashasema atamtunza kwa kila kitu....bado tutarudi kulekule, anatakiwa amlee mwanae coz kama alipanga alitegemea nani aje amlele?

Mpendwa Nyamayao... Huyo mama hana sense of humanity, ni mnyama na anataka kwenda Zambia au ohio kuendeleza uhuni wake...:mad2:

Sio jambo la busara kupeleka hili jambo kwenye ndoa changa kama hiyo, huyo mke amemvumilia na kumstahi vya kutosha... ahurumiwe na yeye, ukizingatia kwamba she is expecting, she will not be in a position ya kumpa huyo mtoto malezi bora kulingana na hali yake...

Uporoto1 ana ndugu zake, aidha madada, wadogo zake, makaka, mashangazi, mabinamu, mabibi, n.k. Na katika hawa, lazima kuna ambaye ameshibana nao sana... amchukue mtoto ampeleke huko akalelewe... apeleke matumizi na kumuangalia mtoto wake kwa karibu... Inawezekana magonjwa ya huyo mtoto yanasababishwa na mazingira na malezi anayopata kwa sasa, akiwekwa kwenye mazingira mazuri sidhani kama hiyo hali itaendelea...
 
Mimi niko tayari kumtunza mtoto lakini niko kwenye wakati mgumu ukizingatia maelewano yetu kabla na wife kukubali kumsapoti mtoto kwa mama yake na sio kubwagiwa na bibie kukimbilia Zambia.
..Uporoto1 nadhani sijaelewa vizuri mkasa wako..kwani mkeo ulimfahamisha kuwa EX wako anataka umpe mimba ili akambambikie huyo husband wake?? Pili kwa kuwa wewe ni biological father wa huyo mtoto kiukweli unawajibika 100% kumtunza huyo mtoto kwani uzinzi wako ndio umetoa huyo mtoto. Sio fair kabisa huyo malaika wa mungu mkawa mnapiga danadana hivyo wewe na huyo hawala yako nina imani ni dhambi sana. Kama ulilikoroga then you are obliged kulinywa kijana...Na hiyo yako sijui kama ni ndoa au komedi:confused2::confused2:
 
Jamani kwa wote ambao mmekuwa mnaulizia hatima ya mtoto imefikia wapi au kwanini sijaleta feedback naomba samahani,mtoto kwa sasa yupo kwa dada yangu na mama yake ameshaenda Zambia.
 
..Uporoto1 nadhani sijaelewa vizuri mkasa wako..kwani mkeo ulimfahamisha kuwa EX wako anataka umpe mimba ili akambambikie huyo husband wake?? Pili kwa kuwa wewe ni biological father wa huyo mtoto kiukweli unawajibika 100% kumtunza huyo mtoto kwani uzinzi wako ndio umetoa huyo mtoto. Sio fair kabisa huyo malaika wa mungu mkawa mnapiga danadana hivyo wewe na huyo hawala yako nina imani ni dhambi sana. Kama ulilikoroga then you are obliged kulinywa kijana...Na hiyo yako sijui kama ni ndoa au komedi:confused2::confused2:

Hili tukio lilitokea kabla sijaoa na mume wa EX wangu alihusika kunishawishi kwakuwa mbegu zake hazikuwa na nguvu.
 
Kaka huo ni mtihani na huna budi kuufanya,huna namna ambayo unaweza kumtelekeza mtoto kwani inavyoonekana mama yake anataka pia kukwepa majukumu.Mchukue mtoto,pia next time kuwa makini sana katika kufanya maamuzi coz ona inavyokucost!pole lkn yatapita
 
Mama kapata kazi zambia au kapata bwana kwa nini akulete mtoto she wants to be free to go to someone, ili mtoto asiwekikwazo katika uhusiano wake mpya. Kwa hiyo kumchukua mtoto maana yake wewe unahatarisha ndoa yako, yes wewe ni kichwa cha familia lakini hutakuwa na mtoto muda wote. Ndoa nyingi sinamatatizo kwa sababu ya umama/ubaba wa kambo.
Mwambie mzazi mwenzio kuwa swala la kulea mtoto ni jukumu lenu wote wawili. na utamlea mtoto akiwa mikono mwake hata enendenaye zambia si amepata kazi kwa nini mnambembeleza, but not to take the kid to your house it will be very unfair.
 
Mimi niko tayari kumtunza mtoto lakini niko kwenye wakati mgumu ukizingatia maelewano yetu kabla na wife kukubali kumsapoti mtoto kwa mama yake na sio kubwagiwa na bibie kukimbilia Zambia.

Kama mama yako mzazi yungali hai, basi mpeleke mtoto kwa bibi yake. Una uwezo wa kumtunza, basi, bibi hatakataa mjukuu wake, ila utimize majukumu yako kama unavyoahidi. Mkeo atajirudi, atamfuata mwenyewe huyo malaika kwa mama mkwe.
 
Back
Top Bottom