Jambo leo: Muuaji wa Polisi Mbande ajulikana

Jambo leo: Muuaji wa Polisi Mbande ajulikana

Sniper sio ? Hivi mtu anaweza kuwa Sniper bila mafunzo maalum ?na ili kupata hayo mafunzo maalum lazima uwe na sifa zipi ? Haya ngoja tusubirie taarifa zaidi ,nazidi kupata majibu ya maswali yangu
Pia kuna wale waliopata mafunzo JKT na kuachwa solemba kitaa ...wana hasira hao na isitoshe hawaogopi polisi maana wameshazoea kuishi na wajeda,polisi kwao ni kama mgambo tu.
 
Siku nyingine ukileta taarifa humu ya kutoka katika Gazeti basi jaribu kuijazia nyama kwa maudhui yake na siyo kutuacha tu njia panda. au unadhani wengine tuna access na hilo gazeti kwa sasa? Watu wengine bhana.....!
kanunue usome
Screenshot_2016-08-26-09-29-16.png

 
Sniper sio ? Hivi mtu anaweza kuwa Sniper bila mafunzo maalum ?na ili kupata hayo mafunzo maalum lazima uwe na sifa zipi ? Haya ngoja tusubirie taarifa zaidi ,nazidi kupata majibu ya maswali yangu

Wanasema uyu jamaa ni jasusi aliepata mafunzo kutoka nchini Cuba
 
Pia kuna wale waliopata mafunzo JKT na kuachwa solemba kitaa ...wana hasira hao na isitoshe hawaogopi polisi maana wameshazoea kuishi na wajeda,polisi kwao ni kama mgambo tu.
Mkuu hapa siongelei haya mafunzo ya kawaida ya kulenga shabaha ,Sidhani kama kuna Sniper aliyepitia mafunzo maalum akaachwa mtaani ,huyu aliyewaua Polisi inaelekea kazi yake anaifahamu vizuri ,huwezi mfananisha na hawa waliopita JKT
 
Ungenunua tu gazeti hilo uandike zaidi nawe uwe umejisomea kwanza.
 
Police shooting

It is one of the biggest mistakes countries find in themselves. When you attack security personnel in a Nation you are creating a Lawless Society . THEN NO ONE IS SAFE NEITHER THOSE WHO THE KILLING.

WE HAVE TO KNOW THAT THE WORLD IS IN THE ECONOMIC AND POLITICAL GAME; ARE YOU A GAME ITSELF OR A PLAYER IN THE GAME, OR A PON OR ONE OF THE NOTICEABLE PIECES.
PONS HAVE BEEN USED TO DESTROY PEOPLES IN MANY PARTS OF THE WORLD.

There is a book called Animal Farm where it says " ALL ANIMALS ARE EQUAL BUT SOME ANIMALS ARE MORE EQUAL THAN OTHERS". This is unfortunately the reality of the World we live in.

WHEN YOU ACQUIRE KNOWLEDGE YOU BECOME A SLAVE TO KNOWLEDGE UNTIL YOU MASTER IT!

This is what is happening in Africa we have so many intelligent and educated people yet we are in PONS and PIECES in a big GAME.


When are we going to Realise and become PLAYERS? Stop to be a Game or PONS on a MASTER competitive Game
 
Acha mkwara maneno mingo toka unaishi Darfur malimbe...!
Imenigusa kwahiyo Mimi ndiyo " muuaji " au? Kijana jiangalie sana sawa? Una Agenda gani hasa hadi kusema kuwa IMENIGUSA? Je unataka kuwaaminisha nini Watu humu JF? Sasa nakupa sekunde 604800 kuniomba RADHI humu kwa hiyo KAULI yako hapo Vinginevyo tutakutana kwa PILATO na FIDIA yangu sijui kama utaiweza. Tena umekuja wakati mzuri kweli sina HELA hivyo ule Mtaji wangu wa kuanzisha KAMPUNI zangu kadhaa na kuanzisha MASHAMBA yangu nitaupata kutoka Kwako. Akhsante Mwenyezi Mungu kwa kunionyesha njia ya NEEMA iliyopo kwa huyu Member. Amina!
 
POLISI siwameshasema CHADEMA wana husika!?
 
Mkuu hapa siongelei haya mafunzo ya kawaida ya kulenga shabaha ,Sidhani kama kuna Sniper aliyepitia mafunzo maalum akaachwa mtaani ,huyu aliyewaua Polisi inaelekea kazi yake anaifahamu vizuri ,huwezi mfananisha na hawa waliopita JKT
Hili saga wanataka kulinogesha tu, kwa tukio lile ni kwamba halikuhitaji mdunguaji {sniper} ile ni ambush kama wafanyavyo majambazi wengine wanaojua kushika nakuitumia vema SMG.
 
Kwani majambazi mnataka nini? Sisi tupo tayari kukaa meza moja na nyinyi.
 
Mi nimeelewa kuwa huyo muuaji anaitwa!!"ajulikana"!! Huyu jamaa nadhani kamaanish hivyo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ha ha ha. wa stendi Uko stendi aisee? Naomba unichekie kama basi la Tarime lishaondoka, nikawajulie hali watani zangu😉
 
Mimi kila siku saa 12 asubuhi napata subscription ya magazetini kwa Mirlad ayo blog, lakini bila kuingia kwenye website kama ya mwananchi na kuisoma habari kwa kina au bila kununuwa hard copy na kuisoma habari kwa kina, kiukweli siwezi kuileta hapa, maana nawajuwa vizuri waandishi wetu na heading zao.

Nakuunga Mkono na miguu, mfano gazeti la uhuru la leo lina heading Wabunge wa Cuf wagomea Ukuta, ukiisoma habari ndani inasema wabunge wa Cuf Zanzibar ambao hawakupenda kuandikwa majina yao gazetini.

Ukizirudisha akili zako vyema unapata Jibu kwamba malengo ya gazeti letu la chama lilikuwa nini.
Aisee!
 
Back
Top Bottom