The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,398
- 119,054
Kwahiyo na wewe umeokota hizo heading huko ukatuletea humu ndio thread yako hiyo? Kwanini usipate habari kamili ndio ukaja kufungua thd humu? Au uliona utachelewa na wenzako watakuwahi?Acha kuwa mpuuzi sema tu hii habari hujaipenda vinginevyo waambie wenye TV waache kutusoma heading za magazeti.
Hii ndio JF ya siku hizi aisee!