Jambo leo: Muuaji wa Polisi Mbande ajulikana

Jambo leo: Muuaji wa Polisi Mbande ajulikana

''Sniper'' at large...........does that mean the beginning of a killing spree?
 
Hiyo ndio heading katika gazeti la JamboLeo la siku ya leo huku vichwa kidogo viwili chini ya vikisomeka:

"Yasemakana hudungua na kusepa"
"Polisi waapa kusaka waliouwa wenzao"
Wangeandika wengine ungemsikia NAPE ...
1. Huyo anayedungua na kusepa, kwa nini hakamatwi?
2. Sentensi hiyo inaonyesha anajulikana....
3. Kama polisi wameapa kumsaka, inakuwaje wamehusisha na UKUTA?
4. Wanaanzaje kuhusisha na UKUTa wakati bado hawamjui aliyefanya hayo..??

Kuna wakati kukaa kimya ni busara zaidi....
 
Hizo ni characteristics za Mtu mbea mbea ambaye huwahi tu kukurupuka kusema au kuleta kitu pasipo hata kukijazia nyama ila Mtu serious huanzisha kitu / jambo na hukiweka chote au hukijazia ili kuleta maana kwa wengine. Watu wengine bhana.....!
Which means vyombo vya habari vinavyosoma front page headlines za magazeti wote ni wambea tu.
 
Mimi binafsi sijasoma gazeti hilo ila magazeti yanasomwa kwenye vyombo vya habari ili mtu ujue tu vichwa vya habari vya magazeti ya siku.
Mimi kila siku saa 12 asubuhi napata subscription ya magazetini kwa Mirlad ayo blog, lakini bila kuingia kwenye website kama ya mwananchi na kuisoma habari kwa kina au bila kununuwa hard copy na kuisoma habari kwa kina, kiukweli siwezi kuileta hapa, maana nawajuwa vizuri waandishi wetu na heading zao.
Hizo ni characteristics za Mtu mbea mbea ambaye huwahi tu kukurupuka kusema au kuleta kitu pasipo hata kukijazia nyama ila Mtu serious huanzisha kitu / jambo na hukiweka chote au hukijazia ili kuleta maana kwa wengine. Watu wengine bhana.....!
Nakuunga Mkono na miguu, mfano gazeti la uhuru la leo lina heading Wabunge wa Cuf wagomea Ukuta, ukiisoma habari ndani inasema wabunge wa Cuf Zanzibar ambao hawakupenda kuandikwa majina yao gazetini.

Ukizirudisha akili zako vyema unapata Jibu kwamba malengo ya gazeti letu la chama lilikuwa nini.
 
Huna lolote hii habari imekugusa.

Imenigusa kwahiyo Mimi ndiyo " muuaji " au? Kijana jiangalie sana sawa? Una Agenda gani hasa hadi kusema kuwa IMENIGUSA? Je unataka kuwaaminisha nini Watu humu JF? Sasa nakupa sekunde 604800 kuniomba RADHI humu kwa hiyo KAULI yako hapo Vinginevyo tutakutana kwa PILATO na FIDIA yangu sijui kama utaiweza. Tena umekuja wakati mzuri kweli sina HELA hivyo ule Mtaji wangu wa kuanzisha KAMPUNI zangu kadhaa na kuanzisha MASHAMBA yangu nitaupata kutoka Kwako. Akhsante Mwenyezi Mungu kwa kunionyesha njia ya NEEMA iliyopo kwa huyu Member. Amina!
 
Mimi kila siku saa 12 asubuhi napata subscription ya magazetini kwa Mirlad ayo blog, lakini bila kuingia kwenye website kama ya mwananchi na kuisoma habari kwa kina au bila kununuwa hard copy na kuisoma habari kwa kina, kiukweli siwezi kuileta hapa, maana nawajuwa vizuri waandishi wetu na heading zao.

Nakuunga Mkono na miguu, mfano gazeti la uhuru la leo lina heading Wabunge wa Cuf wagomea Ukuta, ukiisoma habari ndani inasema wabunge wa Cuf Zanzibar ambao hawakupenda kuandikwa majina yao gazetini.

Ukizirudisha akili zako vyema unapata Jibu kwamba malengo ya gazeti letu la chama lilikuwa nini.

Kwahiyo umeniunga mkono kwakuwa Gazeti la UHURU la CCM limeandika usivyotaka Wewe? Basi kama umeniunga mkono kwa hilo nakuomba tu mara moja iachanishe hiyo mikono yako. Uungwaji mkono wa KINAFIKI namna huwa siupi nafasi. Nenda kasome Gazeti lako kule la Tanzania Daima. Unachokikataa Gazeti la UHURU kule Tanzania Daima halipo? Wewe Jamaa sijui siku hizi huwa unafikiri kwa kutumia " Kiungo " gani cha Mwili wako. Unanisikitisha sana na nakumbuka zamani tulikuwa Washikaji sana ila Lowassa na Magufuli " wakatutenganisha ". In short siku hizi Rafiki yangu Wewe umekuwa wa " hovyo hovyo ".
 
Inasemekana muuaji wa police ni highly trained person, inasadikika ana mafunzo ya ujasus na ameyapata cuba. Kinachodhihirisha ni sniper jamaa alilenga sehemu za kichwa zaid. ( chanzo gazet la leo tar 26/08/2016)
 
Salary Slip taarifa yenyewe ndo hii.
Screenshot_2016-08-26-09-29-16.png

Back
Top Bottom