Jambo la kumtukana Rais linaniuma sana

Jambo la kumtukana Rais linaniuma sana

Uku mbele tunapoelekea tutaanza kuwinda chawa kama digidigi. Sio mbali siku inakuja.
 
Weka tusi hata moja la nguoni alilomtukana huyo rais. Na kwa kukusaidia tu viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi hawana heshima hizo.
Wapinzani wa hii nchi mmekuwa wa ajabu sana hivi miaka yote hii mnalalamika kupolwa kura inamaana hadi leo hamjatafuta suluhu ya hilo tatizo?

Sasa kama mnashindwa jambo hilo kulitafutia dawa yake imani ya kuwapeni nchi tunaichukua wapi[emoji35]
 
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.

Du umekuwaje tena? Yaani umefikia huko? natumaini unampenda sana Mungu kuliko rais wako huyo
 
Chadema walaumiwe hapa.
Hatutaki siasa za kihuni...Busara itumike.
Samia kawapa Uhuru Sasa wanautumia vibaya.
 
kiukweli nachukia matusi lakini yanayoendelea ni majibu kwake Kwa kuchekelea waliokuwa wanamtukana mtangulizi wake ilifikia mpaka watu wakasema mbele yake wazuri hawafi hiyo ni karma
 
Wapinzani wa hii nchi mmekuwa wa ajabu sana hivi miaka yote hii mnalalamika kupolwa kura inamaana hadi leo hamjatafuta suluhu ya hilo tatizo?

Sasa kama mnashindwa jambo hilo kulitafutia dawa yake imani ya kuwapeni nchi tunaichukua wapi[emoji35]
Tunaporwa na CCM kwa backup ya vyombo vya dola, na sio CCM kama chama cha siasa. Njia ya amani ni hiyo ya kutaka tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Lakini CCM kwa kutumia nafasi yake vibaya ya chama tawala hawako tayari, maana wanajua ubovu wa katiba na tume hii ndio nguvu ya wao kukaa madarakani. Hivyo tunapendekeza njia ya mapinduzi ya kijeshi ili tuanze wote upya.
 
Chadema walaumiwe hapa.
Hatutaki siasa za kihuni...Busara itumike.
Samia kawapa Uhuru Sasa wanautumia vibaya.
Uhuru hautolewi na Samia bali katiba. Acha upotoshaji wa kijinga. Ni vyema ungejikita kwenye ripoti ya CAG kuhusu wizi wa fedha za umma, badala ya kulazimisha heshima kwa viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi za nchi.
 
Nyie ndio mlivyo mnalishwa sumu ya chuki tu bila sababu.....kipindi Cha Magu mliwekwa mfukoni na hakuna aliyeropoka kiakili yako unadhani hao wanaopiga kelele majukwani wanatafuta maslahi yako wewe au wanatafuta kukubalika kisiasa ili nao wakale Mali za nchi?

Chadema nilisha wafuta kwenye vyama vya upinzani wapo kimaslahi kabisa.
 
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Ametukanwa vipi? Hebu weka mfano
 
Katukanwaje! maana wengine ndo tumetua leo mjini kutoka shamba.
 
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Kwa hiyo wewe hapa unamsemea nani hasa?

Tukitaka kusema kitu tuje kukuomba ruhusa na utueleze inavyofaa kuwasilisha mawazo yetu?

Hiyo hatma iliyompa urais, ndiyo pia iliyompa ruhusa ya kuvuruga taifa?

Naelewa huna uwezo wa kuyajibu yote haya. Watakaotaka kuelewa na waelewe.

Rais anapolikosea taifa na watu wake tena kwa maksudi mazima anaudhi sana. Hawezi kubembelezwa.
Ukitaka asitukanwe kama unavyosema wewe, nenda kamwambie awe mwadilifu, afanye kazi za wananchi kama kiongozi wao siyo jambazi anayepora mali zao.

Hovyo kabisa kuwa na watu wa aina yako.
 
Kwa nini watu wanapoambiwa ukweli wanasingizia wametukwanwa?kwani ni uongo kuwa nchi kwa sasa inajiendea tu.kila kitu kiko hovyohovyo tu.mikataba ya milele(hovyo),mafuta(diesel&petrol)hayaonekani hasa mikoani(mambo ya hovyo) na mengine mengi hovyohovyo tu.
 
Hawawezi kukuelewa hao wasio na maadili.

Lussu apelekwe gospitali ya vichaa kwa nguvu za dola awekwe pale miezi mitatu achunguzwe hali yake.

Huyo ni hatari sana kwa usalama wa Watanzania.
Nami napendekeza wewe uwe ni mmoja wa kundi hilo hilo linalohitaji huduma huko atakakopelekwa Lissu.

Kwa maana matatizo yako ni makubwa zaidi ya hayo aliyonayo Lissu.
 
Nami napendekeza wewe uwe ni mmoja wa kundi hilo hilo linalohitaji huduma huko atakakopelekwa Lissu.

Kwa maana matatizo yako ni makubwa zaidi ya hayo aliyonayo Lissu.
 
Tunaporwa na CCM kwa backup ya vyombo vya dola, na sio CCM kama chama cha siasa. Njia ya amani ni hiyo ya kutaka tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Lakini CCM kwa kutumia nafasi yake vibaya ya chama tawala hawako tayari, maana wanajua ubovu wa katiba na tume hii ndio nguvu ya wao kukaa madarakani. Hivyo tunapendekeza njia ya mapinduzi ya kijeshi ili tuanze wote upya.
CCM hawajivunii hivyo ulivyovitaja ila mtaji ea wanachama na si wanachama tu bali wanachama wapiga kura sio wale wa kwenye mikutano
 
Nyie ndio mlivyo mnalishwa sumu ya chuki tu bila sababu.....kipindi Cha Magu mliwekwa mfukoni na hakuna aliyeropoka kiakili yako unadhani hao wanaopiga kelele majukwani wanatafuta maslahi yako wewe au wanatafuta kukubalika kisiasa ili nao wakale Mali za nchi?

Chadema nilisha wafuta kwenye vyama vya upinzani wapo kimaslahi kabisa.

Magufuli alikuwa shetani, mimi naongelea binadamu. Sheria za nchi sio utashi wa rais, kama ww unaona ni hisani ya rais baki na akili hizo hizo.

Cdm hawahitaji uwakubali kwa chochote, na wala hawakumiss kabisa. Baki na hicho chama cha majizi ya kura ili yabaki madarakani kwa shuruti.
 
Back
Top Bottom