Amanikwanzaa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2023
- 253
- 464
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.