Jambo la kumtukana Rais linaniuma sana

Jambo la kumtukana Rais linaniuma sana

Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Mtu kama wewe ukifika milembe Cha kwanza tunachukua CORE temperature Kisha tunakudunga sindano ya Mqoundou upate akili huwezi kuleta hii hoja mufilisi hapa mbona yule kijana aliyemtusi rais kwenye TikTok huko kigamboni keshatiwa nguvuni mnasubiri nini kumkamata Lissu hadi sasa tupo uraiani au mlitaka asifiwe kama bwana yesu hata kama anaiuza nchi Kwa waarabu
 
Back
Top Bottom