Jambo la kumtukana Rais linaniuma sana

Jambo la kumtukana Rais linaniuma sana

Dogo acha ufala Rais hagawi uhai ni mtu kama wewe.

Huu uchawa inabidi uwe na mipaka maana tunatengeneza taifa la kifala sanaView attachment 2704647
hakuna mtu unamzidi wewe kwa ufala. Umesikia hata Marekani ujuha km huo. Madaraka hayapatikani kwa matusi, msitumie ustaarabu wake km udhaifu, rais ni rais. Msije baadaye mkaanza kulialia km kawaida yenu. Rais ni taasisi wanawachora tu sahivi, endeleeni na upumbavu wenu. Mpumbavu hajawahi staarabika.
 
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Tena wanawaza kwamba kupitia matusi yao ndiyo watapata huruma ya kupewa malmlaka ya nchi
 
kashauriwa sana na wengi kwa upole haelewi ko kilichobaki ni kumkosoa kwa ujinga, ambao ameufanya kwa makusudi na tulishamwambia, ko tulia tumuwajibishe hatutasubiri majuto kamwe!!
Rais wetu hajafanya ujinga na hatugemei, aliyefanya ujinga ni mamako kuzaa binadamu mpumbavu km wewe
 
Mtoa mada iko hivi, ukiona anayekukimbiza ameanza kurusha matusi basi jua ameshashindwa huyo hivyo unachotakiwa kufanya ni kuongeza mbio tu. Raisi Samia, The Mother of Modern Tanzania, anawaona na kuwajua sana hawa majuha lakini anawapotezea tu sababu ni majuha yasiyo na maana yoyote. Ye anasonga mbele tu; anapiga kazi, tena ya uhakika.......anayaacha haya majuha ili yaje yapambane na matokeo ya kazi yake hapo baadae.

Yaelewe na yapotezee tu haya majuha mtoa mada; hayana chochote zaidi ya matusi na mihemko na ufuataji mkumbo. Elewa kwa 100% kuwa mama anawaelewa zaidi na kuwakalia kwake kimya ni maamuzi yake tu.......akiamua anawatafutia waume ili waolewe wote hawa!!!
 
hakuna mtu unamzidi wewe kwa ufala. Umesikia hata Marekani ujuha km huo. Madaraka hayapatikani kwa matusi, msitumie ustaarabu wake km udhaifu, rais ni rais. Msije baadaye mkaanza kulialia km kawaida yenu. Rais ni taasisi wanawachora tu sahivi, endeleeni na upumbavu wenu. Mpumbavu hajawahi staarabika.
Binti unatafuta bwana unataka kuolewa mmmmhhh ?
20230728_211435.jpg
 
Mkuu.., kwani wew unashaurije kwa yanayoendelea. Mfano TPA inaongozwa na Mzanzibar kwa sas, Waziri wa Wizara husika na Katibu wake niwazanzibar.

Mwenye asili ya Tanganyika na mwenye kuthamin rasilimali zetu kwa ajili ya kizazi kilichopo nakijacho, kwa yanayoendelea lazima uwe mkali.
acha ubaguzi wa kipumbavu nchi hii ni moja we fala
 
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Ila kuibiwa na kuuzwa sawa tu. si ndio?
 
Kwani Rais ni Mungu kwamba hakosolewi??? Au kutukanwa??? Kama Yesu alitukunwa na kutemewa mate, sembuse rais! Acha kukuza,mambo! Kila mwanadamu kutukanwa ni jambo la kawaida
 
Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Wagalatia ndio wanaporomosha matusi
 
hakuna mtu unamzidi wewe kwa ufala. Umesikia hata Marekani ujuha km huo. Madaraka hayapatikani kwa matusi, msitumie ustaarabu wake km udhaifu, rais ni rais. Msije baadaye mkaanza kulialia km kawaida yenu. Rais ni taasisi wanawachora tu sahivi, endeleeni na upumbavu wenu. Mpumbavu hajawahi staarabika.
Asante mkuu, kuna watu ustaarabu ni kama dhahabu kwao, yani hawana kabisa.
 
Back
Top Bottom