Yenga08
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 458
- 894
Usitukane kijana.., kuna watu wanamatusi kuliko mnayoyajuwa kwenye ukoo wako.,acha ubaguzi wa kipumbavu nchi hii ni moja we fala
Usitukane kijana.., kuna watu wanamatusi kuliko mnayoyajuwa kwenye ukoo wako.,acha ubaguzi wa kipumbavu nchi hii ni moja we fala
We Rais akuume kuliko watoto wake aliowazaa na mkwewe Mchengerwa!?Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Bila kuweka hilo Tusi hatutaelewa mada hii
Anajikuta Waziri MchengerwaMama yako na baba yako kla sku wanatukanwa na michepuko yao ilo akikuumi ila raisi ndi linauma kwel wanccm weng akili zetu ni zero
AahaaaaUlitaka yauzwe mmakalio yako
Hivi wewe unajua matusi? Weka matusi aliotukanwa , mfano ukiniambia mimi mpubavu , akili za kimatope una kua umenitukana, nenda Kenya ndo utajua kuna matusi kwa rais waoKukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Tunapotaka chaguzi ziheshimiwe ni pamoja na kupata haki ya kuheshimiwa. Viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi za nchi ni zaidi ya matusi yanayokuumiza.Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Chawa huwa wanaishi kwa kujipendekeza, hivyo wakisikia lugha ambazo sio za kujipendekeza huita hayo ni matusi.Hivi wewe unajua matusi? Weka matusi aliotukanwa , mfano ukiniambia mimi mpubavu , akili za kimatope una kua umenitukana, nenda Kenya ndo utajua kuna matusi kwa rais wao
Kakudanganya nani? Mzee nikikuwa nakuona uko vyedi sana kwahiyo na wewe ukiwa rais mimi nikiwa jukwaani nikikutukana kama vile utacheka na kunywa wine?Tunapotaka chaguzi ziheshimiwe ni pamoja na kupata haki ya kuheshimiwa. Viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi za nchi ni zaidi ya matusi yanayokuumiza.
Na kwa taarifa yako, viongozi wetu huwa hawasikii wala kutekeleza inapotumika lugha ya staha. Hizo lugha ngumu ndio hufanyiwa kazi.
Mimi siwezi kuingia madarakani kwa kupora uchaguzi. Na nikiambiwa jambo ambalo wenzangu wanaona sio sawa nitarekebisha ama kusitisha. Sio mambo ya kusema nimetia pamba masikioni.Kakudanganya nani? Mzee nikikuwa nakuona uko vyedi sana kwahiyo na wewe ukiwa rais mimi nikiwa jukwaani nikikutukana kama vile utacheka na kunywa wine?
wMimi siwezi kuingia madarakani kwa kupora uchaguzi. Na nikiambiwa jambo ambalo wenzangu wanaona sio sawa nitarekebisha ama kusitisha. Sio mambo ya kusema nimetia pamba masikioni.
Unaweza kuta huyu hata mkewe hana uhuru wa kujielezaMimi siwezi kuingia madarakani kwa kupora uchaguzi. Na nikiambiwa jambo ambalo wenzangu wanaona sio sawa nitarekebisha ama kusitisha. Sio mambo ya kusema nimetia pamba masikioni.
Bora uwepo huo Utanganyika na Uzanzibari ili munaojiona nanyi Waarabu, muendeleee na uwarabu wenu.Huku ndiko kuishiwa mawazo haswaa unawaza uzanzibar na utanganyika kwenye nchi hii yenye ujamaa?
Hivi kesho ukipata utanganyika si utaanza kudai uchaga na uzaramo?.. bulshit [emoji35]
Baada ya hapo matokeo yake tutahamia kwenye ukabila...wewe utarudi kwenu huko pia mtaanza kubaguana kuwa wewe sio ukoo wetu...results vurugu na amani kupotea kabisaBora uwepo huo Utanganyika na Uzanzibari ili munaojiona nanyi Waarabu, muendeleee na uwarabu wenu.
Nyie watoto wa 2000's hamjuwi hata historia ya hii Nchi., right mngekuwa mnaijuwa vyema na misingi yake wala msingekuwa mnasema tunaleta ubaguzi. Hebu anzeni kwanza na hao watawala wenu ili twende sawa.Baada ya hapo matokeo yake tutahamia kwenye ukabila...wewe utarudi kwenu huko pia mtaanza kubaguana kuwa wewe sio ukoo wetu...results vurugu na amani kupotea kabisa
Dhambi ya ubaguzi itakutafuna hadi kizazi chako.Nyie watoto wa 2000's hamjuwi hata historia ya hii Nchi., right mngekuwa mnaijuwa vyema na misingi yake wala msingekuwa mnasema tunaleta ubaguzi. Hebu anzeni kwanza na hao watawala wenu ili twende sawa.
Haiwezekani kunyamaza kisa tunaogopa kuitwa wabaguzi, bora tuitwe wabaguzi., maana tunaona kabisa mam yenu gari imemshinda.
Nchi haiwezi kuongozwa kwa hatima unayo hubiri hapa. When you are a leader, never expect sympathy. Hii inaanzia kwenye family level. Kama mnamhurumia sana huyo mama yenu mwambieni aachie nchi. Hajalazimishwa na mtu kukaa hapo.Kukosoa kupo, na kushauri kupo, ila hii tabia ya kutukana tena mkuu wa nchi inakera mno. Elewa hatima iliyompa urais ndio ilikupa uhai wewe, kwahiyo ardhi hii tuikanyage kwa adabu na tudai haki zetu kwa haki sio kwa kutukana.
Weka tusi hata moja la nguoni alilomtukana huyo rais. Na kwa kukusaidia tu viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi hawana heshima hizo.Ni swa lissu kumtukana rais? Tena matusi ya nguoni?
w