Jambo la kufanya kwa siku ya leo ya wapendanao

j p morgan

Member
Jan 17, 2023
22
85
Kuna hii story nimeisoma somewhere. Kuna mama mmoja alijiunga kwenye self-improvement program, katika iyo program walipewa assignment wakawaombe waume zao wawatajie mapungufu sita walinayo hao wakina mama.

Jioni mumewe aliporudi nyumbani yule mama akatekeleza assignment kwa kumuomba mumewe amtajie mapungufu 6 aliyonayo.

Mume alishangaa sana kwa sababu hakutegeme kuulizwa swali kama ilo na mkewe. Mume aliomba apewe mda wa kufukilia na atamjibu kesho yake asubui.

Kesho yake kulivokucha mume akiwa anaelekea kazini alimpigia mtaalamu wa maua na kuagiza maua 6 (red roses) yafike katika address ya pale kwake yakiwa na ujumbe 'siwezi kufukilia mapungufu 6 uliyonayo. Nakupenda kwa jinsi ulivo'.

Jioni yake yule aliporudi kwake alimkuta mkewe akimsubiri mlangoni uku machozi yakimtililika kwa ile surprise aliofanyiwa na mumewe asubui. Mume alijua kushukuru kuliko kukosoa.

Kwa siku kama ya Leo, pata nafasi ya kushukuru na kuthamini mambo mazuri wanayotufanyia watu wetu wa karibu.

Binadamu tulivo tuko wepesi kukosoa makosa na wagumu kuthamini mazuri. Give honest and sincere appreciation
 
Usipomkoa mtu atajuaje mapungufu yake na kujirekrbisha?

Sidhani kama Wakorea, Wafilipino na Wahindi wanamapenzi ya hivyo.
 
Pale anapokosea m2 kukosolewa kunaitajika lakini pia kwa pale anapopatia tusisahau kushukuru na kutambua jitihada alizofanya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom