Jambo kutokea Congo

Jambo kutokea Congo

bukavu

Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
7
Reaction score
0
Nawasalimu wote

Mimi ni mtoto wa Congo, swahili yetu na ya Tanzania si sawa ila nafikiri tutasikilizana.

Nawatakiya wote mwaka mpya 2011
 
Karibu bandugu,

andika hata Kilingala sawa tu
 
Nawasalimu wote

Mimi ni mtoto wa Congo, swahili yetu na ya Tanzania si sawa ila nafikiri tutasikilizana.

Nawatakiya wote mwaka mpya 2011
Baelezee juu ya nini papaaaa
 
Bandugu ba congo pedesze Gøød Guy banakukaribisha rasmin ndani ya Jf karibu kwa sana..
 
Papa upo pande ipe ku_lubumbashi au Ku-Kisangani karibu sana nakutakia sikuku njema wewe na bibi yako nawatoto. Mimi mdau niliikala pale ku Golf Quarte Lubumbashi na kutumika na UNHCR
 
karibu sana mkuu lakini upo Congo au kwa sasa upo Milton Keynes

Hivi sasa nipo Milton keynes, naenda kutana na Alikiba hapo kesho..

Basi munaweza mukafuata videos yangu moja hapa na ndugu yenu, ndugu yetu Diamond mtoto wa mbagala hapa..

Natumikiya (kwa bure) TV ya Congo, hapo Bukavu

Last edited by a moderator:
Nawasalimu wote

Mimi ni mtoto wa Congo, swahili yetu na ya Tanzania si sawa ila nafikiri tutasikilizana.

Nawatakiya wote mwaka mpya 2011

bileee! Nimefurahika sana na moyo kutingizika kupata mutu ya fasi ya congo, nalitumikaga na batu ba baraka, uvira na bujimai. Vipi techno malewa bado iko julu? Ukikuya usisahau selemomaa, salimia tatee, mamaaa na batoto bote. Karibu siku ya bonanee.
 
ah ah ah ah nafurahi na swahili yako..

mimi nafahamu uvira vizuri sana, nimepita hapo mwaka wa 1998, kisha nikaenda Dar es Salaam kupitiya Kigoma

Asante
 
Back
Top Bottom