Jambo jema sana hili

Huwa wana utaratibu wa kuja hata mwaka jana walikuja na askari wetu walikuwa mafunzoni huko huko Russia wakapokelewa bila shaka na Major General Mwami kama sikosei pale Navy.
 
JWTZ jifunzeni kwa hao,nchi ina bahari lakini hata destroyer 1 hakuna ,,,kuna mitumbwi tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…