Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,301
Reaction score
741
Habarini wa MMU
mwaka umeisha sasa...kama ilivyo kawaida kila mtu mwaka huu kapitia changamoto mbalimbali...ingekuwa ni vyema sana kama kila mmoja wetu tungetumia thread hii....ku share changamoto kubwa zaidi aliyokutana nayo mwaka huu...kwa kiasi fulani inaweza kuwa fundisho kwa wenzetu..
Kwa upande wangu huu mwaka naweza kusema ni mwaka ambao ni mbaya zaidi maishani mwangu....nilikumbana na matatizo ambayo hayaendani na umri wangu kabisa nimezaliwa 1996 tu....mwaka huu nilikumbana na msala wa kumpa mimba mwanafunzi mwenzagu aise nilichanganyikiwa sana kwa sababu nilikuwa form 6 nakaribia necta....kwa msongo wa mawazo ulionikumba ilinibidi nivute hadi bange ambayo kiukweli ilinisaidia sana...huu msala ulisha baada ya kupata ushauri hapa hapa jf...nilileta thread Mrejesho: Nimempa ujauzito mwanafunzi mwenzangu, naomba ushauri
Licha ya kejeli ila nilifata ushauri nilioupewa kuwa nimchukue binti nimpeleke home ambako ndo yupo hadi sasa hivi....msala mwingine unaoniumza kichwa hadi sasa hivi ni ofisini nilipokuwa nafanya kazi baada ya kumaliza form 6 nilipoteza million 10...yaani mpaka sasa sielewi ile hela ilienda wapi..boss wangu hadi leo anaamini nilichukua hiyo hela wakati sio....
Nuksi nyingine mwaka huu nikuvamiwa home na vibaka waliniibia vitu vyangu vya thamani thamani nimeripoti police ila hadi leo sijaona respond yoyote...
Baraka nilizopata mwaka huu ni nyingi pia namshukuru mungu sana kwa hili kwani binti alijifungua salama na sasa nina mtoto wa kiume(ZAWADI KUBWA ZAIDI MAISHANI MWANGU )huwa nikikaona kana tabasam nkikumbuka kalivyokuwa kanataka kutupwa chooni ili mama ake asome naona aibu sana...
Merry xmass MMU
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
 
Jambo zur nimebahatika kupata mtoto wakiume namshukuru mungu, ila jambo baya ambalo linaniumiza mpaka Leo nipale nilipochukua mtaji wangu wamilioni moja nakidogo nikawapa watu fulani ili nipate kazi fulan ila kwabahat mbaya ckufanikiwa nahela ikawa imeenda bure nampaka leo mambo yangu sio mazur, iliniumiza sana hela yangu ukizingatia niichanga kwamda kidogo nailikuwa inaniingizia kima chachini chamshahara wamfanyakaz
 
Kupendwa na mwanamke ambaye anapenda sana pesa zangu awe anatumia yeye mwenyewe basi. Anaona mm sifai kuonekana nina pesa bali yeye.....tukio baya sana hili

Secondly, niliandika barua ya Ku resign mwezi mmoja kabla lakini Director akanigomea....eti haitambui hadi nimalize project. Niliamua kaondoka maana alikataa hata kupokea Mali za kampuni....sasa tumekuwa maadui kila nikimwambia achukue chombo cha moto cha kampuni pamoja na PC hataki....anataka na kamshahara ka mwezi mmoja apewe. Nimeachana naye japo namuona ni mpuuzi sana!
 
Back
Top Bottom