Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 309
- 302
*Bongo muvi bhana et jambazi kamnyoshea mtu Bastola afu anamwambia ..... NITAKUCHINJAAAA..*
```Nimezima Tv ..nime0na ningie JF```










```Nimezima Tv ..nime0na ningie JF```






















Hatari mkuuHahaaaa
alafu utakuta mwanaume anaongea huku akibetua mdomo na kuzungusha zungusha shingo..!! huwa nahisi kizun gu zungu kwa ghadhabu!!!!




Hahahahaaaaaa*Bongo muvi bhana et jambazi kamnyoshea mtu Bastola afu anamwambia ..... NITAKUCHINJAAAA..*
```Nimezima Tv ..nime0na ningie JF```![]()


mm nilishaachaga kununua cd zao tangu marehemu kanumba aondoke yaani hata cjui halafu ya cd za bongo movie sasa hv bora nikae instagram tu kusoma umbea