Jamani

Chamoto

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Posts
9,883
Reaction score
22,310

U.S. Air Force Senior Airwoman runs through a checklist during Global Positioning System satellite operations.
 
Ok.......and then.........?
 
Vichwa kama hivi havina mda wa kucheza, full tym work, part tym mapenzi.
 
nani amuwezeshe?
Yeyote aliye karibu nae kuzingatia kiwango cha kuwezeshwa anachotaka,mfano kwenda shule akisisitizwa na wazazi atazingatia sana elimu, au kuchukua masomo ya sayansi bila msukumo wa ziada wanawake wengi wanayaogopa,pia kuingia kwenye kazi ambazo zimezoeleka kuwa ni za wanaume kwa kiasi kikubwa,kama hii bila msukumo wa serikali haitawezekana
 
Huku kwetu kukikuta mwanamama yuko majeshini lazima SURA IWE IMEKOMAA balaa..sijui tatizo ni nini.....
 
Ila umbea ndiyo wanauwezea kwa sana. Hakuna cha darasani wala nini
Nadhani ni asili yao kuongeaongea "umbea" thus kama tukiwahukumu kwa asili yoa hatutawatendea haki. Ni sawa na kulalamika kwanini simba anawaua swala,kwake swala ni chakula tu. Ila level ya umbea ikiwa kubwa then hapo ni tatizo,lkn ....wakiwezeshwa kuacha umbea,wanaweza...!
 
Chamoto,

Sema kweli, ni uzuri wake na si kazi yake iliyokufanya utuletee nasisi tuharibu macho.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo na wewe umeona uzuri wake? Naona wivu! :angry:

Hi Mwali, wala usiwe na shaka, moyoni ni wewe huyo Chamoto anatuletea fitna tu.

Anataka kututia mshawasha, fitina zake hazipandi wala hazishuki, bure hiyo.

Nampenda Mwali wangu katu simwachi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…