Jamani yamenikuta nifanyeje wanajamii ushauri please.

Jamani yamenikuta nifanyeje wanajamii ushauri please.

Na sisi tunaomba ushauri kwako pengine uko vizuri kuliko sisi,wakati wengine tukipima kwa combination wewe unatumia kigezo gani kwa muda gani na kipi kinaanza?
 
Pedeshee kiraka: jambo la KUCHUNGUZANA kwanza lilikuwa la busara, na sasa limezaa matunda. Yakubali matokeo, ANZA UPYA fasta.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na sita sasa nilikuwa na rafiki yangu wa kike yaani mchumba tuna mwaka na nusu lkn sijawahi kukutana naye kimwili maana nilitaka awe mchumbawangu hivyo nilihitaji kwanza tuchunguzane tabia lakini cha kushangaza demu kumbe ana kajamaa kingine siku moja alikuwa naye nikapiga simu naye akampa raiki yake aongee nami anidanganye hayupo , nikaja kupata fununu kuwa ana kajamaa kingine nikaomba namba yake nikaipata tukaongea jamaa akakubali kwamba ni kweli, basi mimi nilichofanya ni kumpigakibuti maana ni mwizi au mnaonaje wanajamvi

Na mimi sikaiti "kajamaa" ni "lijamaa" wewe fuatilia utakuta si huyo tu, wapo wengine wengi tu. Mimi nikifikiria ndoa huwa nachoka tu, nimeona bora niendelee kuwagonga tu kuliko kujipa presha na b*tches!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom