Chief mangi
Member
- Feb 7, 2012
- 5
- 0
Jamani huyu babu aliyezeekea madarakani yuko wapi mbona simsikii? Hakuamini macho wala masikio uchaguzi uliopita 2015 tunamkaribisha tena Rombo kwa ugombea.

Yupo Canada kwenye moja ya hoteli zake
Vipi kwani Joseph Selasini ametekeleza CHADEMA General election's manifesto?Mkuu wewe 2015 utaitetea CHADEMA kwa kupitia Jimbo la uchaguzi gani?Akanyage Rombo achukue fomu ya Ubunge aone...
Jamani huyu babu aliyezeekea madarakani yuko wapi mbona simsikii? Hakuamini macho wala masikio uchaguzi uliopita 2015 tunamkaribisha tena Rombo kwa ugombea.
Akanyage Rombo achukue fomu ya Ubunge aone...
Kwan kesi yake ilisha isha?
Kwan kesi yake ilisha isha?
Jamani huyu babu aliyezeekea madarakani yuko wapi mbona simsikii? Hakuamini macho wala masikio uchaguzi uliopita 2015 tunamkaribisha tena Rombo kwa ugombea.
Kwani ana kesi gani tena? Au anahudhuria mahakamani kutimiza wajibu.
Mkuu jenga hoja,acha porojo!!Akanyage Rombo achukue fomu ya Ubunge aone...