Jamani whatsup imeondoka na 2017?

Jamani whatsup imeondoka na 2017?

Ilipotimu saa sita kamili kwa nchi za Asia ndipo watsapp ikazingua.

Ngoja tuone itapofika kwa huko EA
 
Ipo down sehemu kubwa ya dunia...

Ila kwangu kuna mtu nimemtumia tusi kwenye WhatsApp kutest tu kama kweli ipo down, kitu deliverd, seen and read... Naona hapa... Typing....



Cc: mahondaw
 
e35748fdc476a58902051c2a82535b55.jpg


Nadhani nitatizo kwa baadhi ya watumiaji wa WhatsApp dunia
Jamaa wanatengeneza Hela si mchezo aisee
 
Back
Top Bottom