Jamani whatsup imeondoka na 2017?

Jamani whatsup imeondoka na 2017?

Ndo washazima TZ Mange si alishasema? Bado kuzima Internet tuu wote tunabaki na ndio mzee.

Hehehee don't rely on Kasie she is Matata.
 
hata hapa sweden pia watu wengi wanatumia mwaka mpya salaam ndugu na jamaa
 
Wana jamii forum mmegundua kuwa tokea saa tatu usiku huu whatsup haifanyi kazi? What is happening?
Labda utakuwa Naliendele au Nanjilinji...

Kwingineko whatsapp inapiga mzigo like never before...
 
Back
Top Bottom