NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,943
Mbn iko poaWana jamii forum mmegundua kuwa tokea saa tatu usiku huu whatsup haifanyi kazi? What is happening?
Mbn iko poaWana jamii forum mmegundua kuwa tokea saa tatu usiku huu whatsup haifanyi kazi? What is happening?
Lsbda wako koromijeNyie Android zenu ni version zipi kama mnatumia android phones...? Mbona kwangu ipo sawa tuu.

Njema kabisa, heri ya mwaka mpya ila kama upo upande wa mashariki mwa dunia...Poa best habari ya siku tele?
Njema kabisa, heri ya mwaka mpya ila kama upo upande wa mashariki mwa dunia...
Kweli Mkuu wengine wetu bado sanaNjema kabisa, heri ya mwaka mpya ila kama upo upande wa mashariki mwa dunia...
Hahah msuba sijui kama utapata...chocs zako i wish nikuletee hata kesho nifute hilo deni kabla 2018 haijachanganya...Nashukuru, heri ya mwaka mpya kwako pia. Nipo upande huo huo kwa siku mbili hizi, kabla ya wikiendi ijayo ntakuwa kusini mwa dunia.
Nakudai msuba ujue.... umevuka mwaka na deni hehehe na ile chocolate pia....
Hahah...yeah...trying to imagine some dudes in the west coast au kule Hawaii, sasa hivi ndio kwanza hata jua halijatua...Kweli Mkuu wengine wetu bado sana
Happy New Year 2018!!
Heri ya mwaka mpya mamilooKweli Mkuu wengine wetu bado sana
Happy New Year 2018!!
Happy New Year chalii anguHahah...yeah...trying to imagine some dudes who are in west coast au kule Hawaii, sasa hivi ndio kwanza hata jua halijatua...
Meanwhile vijitu vifupi huko Japan, Tonga, Fiji, Kiribati etc vishaamka asubuhi ya kwanza ya Jan 1 2018
Ni poa tu, heri ya mwaka mpya kwako pia Miss NatafutaHappy New Year chalii angu
Hahah msuba sijui kama utapata...chocs zako i wish nikuletee hata kesho nifute hilo deni kabla 2018 haijachanganya...
Kheri ya mwaka mpya mazeepoleni mbona kwangu ipo OK