Jamani whatsup imeondoka na 2017?

Jamani whatsup imeondoka na 2017?

Kuna simu zilitajwa kuwa tar 31/12/2017 itakuwa ndiyo mwisho wa kuwa na app ya WhatsApp.
Kwa wanaokumbuka,last year ilitajwa Nokia Asha(kama sikosei).
 
Normal traffic jam. Muda huu kila mtu anadambaza picha na salamu. Hata wewe
 
Mi mwenyewe sielewi,nikajua bando limekata lakini nashangaa mbona app ya jf nafungua fresh
 
Back
Top Bottom