Jamani wanawake, barabarani kugumu

Jamani wanawake, barabarani kugumu

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Umezaa na mtu, au ni mmeo,af unamletea nyodo kwamba anatoa hela ndogo au hakuridhishi.

Unapata mchepuko,anaekuridhisha, na hela ndogo hiyounayopewa na uliezaa nae,hakupi mchepuko.

Mwenye kukupa hela,akistukia una mchepuko,anakuacha,na kile kidogo hukipati tena.

Mchepuko nae akishajua umeachwa, anajua mzigo wa shida analetewa yeye, na anakula kona mapemaaa. Mme au mzazi mwenza umekosa, mchepuko umekosa,unaanza kuwaza kurudi mkoani na mtoto.

Shauri zenu.
 
Back
Top Bottom