pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Yap!! Wanawake tunawadanganya sana bila wao kujua na wanaingia mkenge na ndo mana tunasikiaga zile story zao yan nawachukia wanaume kama nn!, wanaume wote waongo au mimi kwa sasa mapenz basi.. sitak kumuamin mtu..
Hii inatokana na kuwa wanawake wamekuwa warahis kias kwamba wamekosa mbinu mpya z kuwahadaa wanaume..
Utakuta mwanamke anamtaka mwanaume mwenye mipango akikaa nae azungumzie mambo ya hela hela tu sasa mwanaume akishajua wewe ni mwanamke wa aina gan wala hapat tabu..si unataka mipango tu bas utapewa story za uongo na wewe utakubali.. ujue mwanaume mwenye kaz ya maana utamjua tu bila hata kuhoj sna..
Wanawake wanapenda show off kwa wanawake wenzao kupita na gar la bwana ake kujishaua mitandaon na picha za uongo fake life..nk..
Sasa wanaume pia wapo willing kukupa bata la week nzima utambe wewe tu af baada ya hapo utapigwa show za kufa mtu af watu hawana time..
Unakutana na mwanaume cku ya kwanza lakn maongez yako unajiweka classic wakat mwanaume uwezo wake wa kawaida na sisi wanaume tunakusikiliza mbwembwe zako huku kichwan tukitafakar jins ya kukuokota .. yan we unajtamba tu ...pizza pizza cjui heineken,cjui moviez cjui swimmng pool sijui shopping mhh wakat unajua kabisa vyuma vimekaza unategemea nn??
Na kuna mwanaume mwingine anakupenda kwa dhat tu lakn sasa wewe unataka ufananishe mpenz wa rafik yako na mm mwenye hali ya kawaida.. et kwa sabab yule anapekwa shopping kila week na mm nikufanyie hivyo wewe.. unajinunisha na visa kbao akitokea mwanamke ambae yuko real bas wewe ndo umeachwa..
Af kuna wale wanawake wanaodataga na outing wakitolewa yan mbwembwe tu unafanya had mwanaume asiwe comfortable bas hapo ujue visa yako inakaribia kuisha..
Utakuta mwingne anakubania wewe tu lakn kwengne anagawa kisa anataka wew ndo umuoe ..hawa ndo wale wanaotolewaga mahali af wnamegwa na hakuna ndoa.. kwan mahali au kijtambulisha bei gan bhana!?
Mwanamke jithamin na ujiheshim na angalia pia wakat ndo mana wengne wanachelewa kuolewa..
Mwanamke kila mtandao wa jamii upo.. ni admin wa magroup kbao ya wasap we kuchat tu mwenzio anaongea wewe busy na sim na kujchekesha bas na ss wanaume tunakuchora tu..