kuna wakina dada wanabahati mbaya wanakutana na wanaume ambao 'selfish' hiyo ni shida mnao...yaani mtu mimi, mimi, hela zangu, mimi nimesoma, magari yangu, mimi utaniambia nini nimesoma..ukidate na mtu wa mmimi, mimi, mimi,mimi kimbia ufe...
Well said dawa yao na we kumdharau phd profesa kama hela yako sion nenda kapange na hizo karata mfyuuuuu... phd makalio yake atumie hiyo phd kuingia labour pumbafu kabisa
Umeona eheee PHD hait**mb* vizuri , wala haiingizi Mwanamke labour , Unaweza kuwa na PHD na umejaaliwa Kibamia tu au Ngoma yako ---- mbili kwishney na ukadharaulika vile vile ...Houseboy akafanya Mambo na akaheshimika , Ndoa na Elimu ni kama Mafuta na Maji kamwe havichanganyiki ,
Maswala ya elimu na familia hayaingiliani hata kidogo.
Ukiwa ofisini uwe mwanataaluma au onyesha PHD yako huko, ukirudi nyumbani unakuwa baba.
Inabidi tujue na tuweze kutofautisha baadhi ya maswala hasa ndoa, elimu na biashara kwa wakati mmoja.
Nakwambia acha bibie mpaka kaloose weight chezea manyanyaso ya kauli wewe.. Anakula vizuri, analala vizuri, usafiri upo ila akimfikiria mumewe nguvu zinaishaa anakosa hata amani ya kumwambia mambo yanayomuhusu
Umeona eheee PHD hait**mb* vizuri , wala haiingizi Mwanamke labour , Unaweza kuwa na PHD na umejaaliwa Kibamia tu au Ngoma yako ---- mbili kwishney na ukadharaulika vile vile ...Houseboy akafanya Mambo na akaheshimika , Ndoa na Elimu ni kama Mafuta na Maji kamwe havichanganyiki ,
sa kama amekosea asiambiwe, umeleta hasara kwenye biashara unataka nikubembeleze tena.... hiyo kitu haipo, tusipokuwa wakali mtatupanda kichwani, lazima upige biti ata kidogo!!! Ilitakiwa ampe na vibao hata viwili kabisa sio maneno matupu
Duunh! !!!
Uko sawa kabisa tinna cute kuna watu wachoyo na wabinafsi sana sema ndio unaweza gundua wakati mko mdani yaani yeye na kwao kwanza, mwenza na watoto baadae!!!!
Kuna jamaa fighter sana akaamua kumshirikisha mkewe kwenye shughuli zake akampa section moja aendeshe sasa wakipiga hesabu hakuna hasara ila faida ndogo sana inapatikana akimuuliza bibie majibu mepesi tu basi jamaa akaendelea nae mdogomdogo mwisho hasara ikaanza taratibu akiuliza majibu mepesi tu siku anakatiza mitaa ya mama mkwe wake anakuta canter linashusha masofa na mkewe yupo anasimamia zoezi. Akasalimia tu akapita! !!!!
Siku anamuuliza vipi siku hizi hatuongei kuhusu wazazi na mahitaji yao???!!!
Mke hana majibu!!
Sasa hapo jamaa angesema ile hasara imenunua masofa angelaumiwa kweli???!!
Mimi sikatai..ila nlichangia kutokana na uzi ulivyo..kwamba jamaa anamtukana na kumkashifu mkewe kwa sababu ya hasara..kupachimba lazima pachimbike kama hasara ikitokea..ila panachimbikaje ndo shida..huwezi kumfundisha mke kwa kumtukana na kashfa..huwezi kumfundisha mke kwa kumwambia nisingekuoa ungeolewa na mwingine ungezaa watoto wenye mtindio wa ubongo..na si kwenye ndoa tu..sisi tuna shida kubwa sana ya namna ya kutatua matatizo mbali mbali ya kijamii..ndo maana jamii yetu imefika ilipofika na kukwama kwenye matope..mm naamini wasomi hasa kwenye ndoa they must talk and argue not to shout.Hapo kwenye hasara sikubaliani na ww kabisa!!!!!"!!!!!!!! hasara nyng kwny vitega uchumi vya wanandoa inatokana na upande mmoja kuchota hela kwa matumizi binafsi yasiyohusisha hicho kitega uchumi ss hapo unategemea hasara ikosekane!!!!!!!!! afu kwako unaweza kuona kufilisika ni kawaida lkn si jambo dogo ss huyo kaka kawekeza badala ya faida ni hasara hata kama ni ww utachukulia poa .................. ndoa hii haina ushirikiano wa kufanya mambo kwa pamoja