Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Ahhah

mmengine bhna mnawasingizia sasa umemuona mwanamke mmoja mchafu kwahiyo ndio wote wachafu?
Sijasema wote...

Wapo wanawake wanaojitahidi sana mpaka unaona pepo yako ipo kwake, hao Mungu awabariki , ila na wao wawafundishe wanawake wenzao namna ya kujiweka safi na wazazi pia himizeni mabinti zenu usafi usafi wa miili yao, nguo zao, pamoja hata na vyumba vyao


Slay queen wote wachafu huu uzi pia una wahusu,
 
Habari,

Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake.

Ukimuangalia miguuni na panapo kipochi manyoya ndiyo unachoka kabisa.

Mwingine anapuliza pafyum juu ya mwili mchafu na nguo alizorudia kuzivaa zenye majasho, mwingine anavaa nguo safi juu ya mwili mchafu na bado ananuka ila anajiona kang'aa, mnatupa shida sana sisi wanaume.

Mbaya zaidi apande daladala halafu asimame mbele yako huku wewe umekaa ndiyo utajua hujui.

Hata kama mwanamke ni choka mbaya epuka kutoa harufu ya uvundo.

NB: Kuwa msafi tuu, mwanamke msafi ni fahari ya mwanaume.
Hama unakoishi ndugu yangu tafuta sehemu ya watu wanaojiweza na ambapo maji sio tunu kupatikana. Sasa wewe unakaa huko deep deep uswahilini na unategemea kuona mabishoo kila kona!
 
Ile tuache masihara kuna wadada wanajua kujipenda na kujiweka swafi, yaani mixture ile unapishana nae unaskia ka harufu flan hv natural kilochochanganya na manukato kwa mbali......

Yaani hata kama ulijiapiza hutochepuka automatically unajikuta unaomba namba...

Wadada mnaojua kujitunza mnapahala penu pa kupumzika peponi
 
Back
Top Bottom