jamani ugomvi wa joka na paka unaendela ndani ya nyumba yangu

mafuta yamempata,anakatikakatika nyoka,wanazengwe wanamuongezea vipigo vitakatifu mifimbo,kwisha habari ya nyoka(rest in peace big snake)paka wangu yupo shwari
ana kama urefu wa 6m.
Acha uongo wewe, mita sita au futi sita? Labda kama ni chatu. Na kama chatu basi huyo nyau lazima aingie kwenye kitabu cha Guiness akisindikizwa na mafuta ya taa
 
mkuu hivi hata hivyo vipimo unavijua au unaandika tu kuonyesha we mwanaume kweli ila uliona jijoka la karne?sasa unaona wanaume walivyokusaidia akili?wamemwaga mafuta tu umekuja kujisifu kwisha kazi as if akili hiyo umefanya wewe.next time try kuwa mwanaume wa ukweli sio siku nyingine unasikia vibaka wameingia chumbani kwa mkeo wanamnanii we unakimbilia nje kwenda kuomba msaada kwa wanaume wenzio kama hawajaja kuunga tela kwa mkeo or wakusaidie kumwokoa lakini kwa sababu watakuwa wameona unono wa mkeo wanamtafuta kwa muda wao.hapo mkeo lazima awagawie kuwashukuru kwa kumwokoa teh teh aaaahhaaa
 
sio kwamba ninajisifu,ila nimetoa taarifa(update) kama nilivyoombwa kuleta updates,kama nimekukela nenda ukasinzie.
 
Acha uongo wewe, mita sita au futi sita? Labda kama ni chatu. Na kama chatu basi huyo nyau lazima aingie kwenye kitabu cha Guiness akisindikizwa na mafuta ya taa

tupo apa jf kurekebishana pia,urefu huo sikutumia kipimo chochote ila nimejaribu kukadiria(inawezekana nisiwe sahihi],lakini kiukweli joka ni refu sana.
 
Nyoka alipata laana ya Mungu baada ya kuwashawishi Adam na Eva kula tunda ktk bustani ya eden.siku zote atakua adui wa banadamu

nyoka alimwambia ukweli ever ambao mungu alikua amemficha.nyoka alimuuliza ever kwanini wasile tunda toka katika mti(tree of knowledge).
Ever akajibu kuwa,wameambia wasile sababu wakila watakufa.
Nyoka akasema,wrong,sio kweli,mkila mtajua mema na mabaya,so ever alishawishika kula ili ajue mema na mabaya,na ndicho kilichotokea,baada ya kula wakajiona kuwa wako uchi.
So hapo nyoka alifanya kosa gani?.
Anyway hii ni nje ya topic iliyopo hapa saa hii.
 
tupo apa jf kurekebishana pia,urefu huo sikutumia kipimo chochote ila nimejaribu kukadiria(inawezekana nisiwe sahihi],lakini kiukweli joka ni refu sana.

Kama wote tungekuwa na tabia yako na hasa kuwa mkweli , JF ingezidi kuwa bonge ya uwanja wa kujifunza kwa uadilifu.
 
bra
kwa nini unasema ni adisi,? hii kitu ni laivu pasco
mkuu moes, hii kitu inaweza kuwa kweli tatizo ni chumvi chumvi unazoongezea ongezea to make believe kuifanya hii kitu more sensational than reality!. Kwanza huyo nyoka umemuita cobra!, then kutaja urefu wa mita 6!. Hakuna cobra wa mita 6! labda chatu!. Chatu hafuri wala hainui kichwa juu!.
P.
 
ni kweli kabisa cobra hawezi fika mita6,sikuwa na vipimo kumpima, lakini lilikuwa na urefu wa kutosha tu.
 
nimeingia mda si mrefu,nakutana na bonge la nyoka linapigana na paka wangu,yaani nimeshindwa ata kusogea karibu, vita ni kali joka limefula na paka amefula, naenda kuita vijana wa street wasaidie.

Huyo sio nyoka!

Ukimsogelea karibu utafahamu kuwa ni mmoja wa majirani zako, alikuja kukutembelea tu. Lkn paka wako akaona wivu!

Teh teh teh teh!
 
Back
Top Bottom