Acha uongo wewe, mita sita au futi sita? Labda kama ni chatu. Na kama chatu basi huyo nyau lazima aingie kwenye kitabu cha Guiness akisindikizwa na mafuta ya taamafuta yamempata,anakatikakatika nyoka,wanazengwe wanamuongezea vipigo vitakatifu mifimbo,kwisha habari ya nyoka(rest in peace big snake)paka wangu yupo shwari
ana kama urefu wa 6m.