Jamani tumbo linanitoa roho jaman

Jamani tumbo linanitoa roho jaman

Cheza na wake za watu, tego hilo............mimi ndio ni tegua uchawi....yangu macho kwanza
 
Wakubwa!
Kuanzia Jumamosi nilikua na kihoma chepesi,nikampigia mchumba wangu aje anifariji lakini akanitosa!
Kwakua nimeanza ruhusa ya masomo J3 sikwenda kazini,ilipofika saa 3 asbh ghfla tumbo likauma sana maumivu makali mno,ili kujua nin huduma ya kwanza nikaingia jf doctor,mara kimya,nikaja chitchat,nakumbuka niliweza kusoma post moja tu ya charminglady nikapote nguvu kabisa mwilini,nikaanza kusali lakini wap,nikaanza kupoteza nguvu nikawastua madogo watafute usafir fastar kwani hali ilikua mbaya zaidi,nikapoteza fahamu hadi saa 10 jioni nilipojikuta nipo rugalo hosp,Namshukuru Mungu sasa nipo nyumbani naendela vizuri.Ombi langu wana Chitchat tuwe serious na taalifa zingine kwani post nilizozikuta kwenye thread niaibu ukilinganisha na hali ilivyokua.Ni aibu kwa wale wote ambao wana hata number yangu ya cm lakn hawakuthubutu kuprove nin kinaendelea juu yangu.ahsante Mungu!
 
Last edited by a moderator:
pole sana mkuu... get well soon!

dah! Kiukweli jana nilipata maumivu ambayo sikuwaikuyapata tangu kuzaliwa kwangu
yaani charminglady mimi huwa ni sugu lakini jana nilikua mpole,huwezi amini hata kupiga simu ilikua ni ngumu.dah mpaka sasa sijiamin
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu na tusamehe wote tuliochukulia hiyo ishu kwa masihara. Let's thank God you're doing good.
ADVICE: Never ever underestimate any body sign of sickness. Also make sure you know what happened and above all what made you be unconscious. POLE SANA MKUU
 
oops hivi kumbe tungekupoteza hivi hivi
Balozi wako ni nani incase of anything?
asante yesu sasa uko ok...pole
 
ahimidiwe Muumba kwa kukujalia uzima na nguvu za kuishi Amen.
 
Pole sana...mimi tatizo nilikusoma kwenye chit chat ......si unajua tena jukwaa letu hili....
 
dah! Kiukweli jana nilipata maumivu ambayo sikuwaikuyapata tangu kuzaliwa kwangu
yaani charminglady mimi huwa ni sugu lakini jana nilikua mpole,huwezi amini hata kupiga simu ilikua ni ngumu.dah mpaka sasa sijiamin

we nae matani mengi.. but kusema kweli madame b sio mtu ye alikua anafurahi tu alafu eti anani pm kua kazi yake imeisha..
 
Last edited by a moderator:
Sio peke yako...hata mimi pia kidogo nife lol
Achana na tumbo aisee
 
What's wrong people? Ukiacha wa jf, leo tumemkimbiza work mate hosp sababu ya tumbo. Hata jamaa hajapewa dawa napigiwa cm kuna ndugu yangu anakimbizwa Muhimbili sababu ya tumbo.
 
Dah hata sijui ni nini ila sio chakula coz nilikula ninapokulaga kila siku
 
Wakubwa!
Kuanzia Jumamosi nilikua na kihoma chepesi,nikampigia mchumba wangu aje anifariji lakini akanitosa!
Kwakua nimeanza ruhusa ya masomo J3 sikwenda kazini,ilipofika saa 3 asbh ghfla tumbo likauma sana maumivu makali mno,ili kujua nin huduma ya kwanza nikaingia jf doctor,mara kimya,nikaja chitchat,nakumbuka niliweza kusoma post moja tu ya charminglady nikapote nguvu kabisa mwilini,nikaanza kusali lakini wap,nikaanza kupoteza nguvu nikawastua madogo watafute usafir fastar kwani hali ilikua mbaya zaidi,nikapoteza fahamu hadi saa 10 jioni nilipojikuta nipo rugalo hosp,Namshukuru Mungu sasa nipo nyumbani naendela vizuri.Ombi langu wana Chitchat tuwe serious na taalifa zingine kwani post nilizozikuta kwenye thread niaibu ukilinganisha na hali ilivyokua.Ni aibu kwa wale wote ambao wana hata number yangu ya cm lakn hawakuthubutu kuprove nin kinaendelea juu yangu.ahsante Mungu!

Mchumba wako ndie mwenye kosa,
kwanini asiwataarifu wana Jf wenzake?
Au unaongelea nini?
Aaarrrgghh!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom