Punguzeni Roho mbaya jamani

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
240
546
Nimejisikia kuumia sana.
Wala sikuwa kudhani wanaume wa humu ndani mna roho mbaya namna.

ubaya wangu Mimi nikuamua kueleza ukweli wa Yale mambo wanawake tunayopitia ila nimeishiwa kutukanwa na watu humu ndani.

Wanaume hata kama ni maisha magumu na nguvu hamna dk 2 chali ila mnisamehe sana mie ninayewaambia ukweli.

Nitawashauri mambo matatu tu kama mkiyazingatia yatawafanya mpunguze chuki zenu binafsi na muache kulia lia njaa eh.

Usafi mjitahidi,
Mtafute hela Muwe na maisha mazuri hata mpate chakutuonga.
Muwe na Tunguvu hata tudogo vya kiume muache kutuachia shombo.

Chuki hazijengi ,wanaume wa jf muache Roho mbaya haijengi.

Mnastress za maisha.

Mchana mwema.

Nawapenda.
 
Kwani wamekufanya nini hazia nyama kidogo
 
Yaa

Yaani tuhangaike ili tupate kukuhonga? Unajua hongo anapewa nani?

Tunahangaika kutunza familia zetu elewa neno zetu, wanaohongwa lazima walipie
 
Back
Top Bottom