Jamani TAKUKURU, kuita watu 12,377 kwenye usaili kwa nafasi 200 ni sawa?

Wamefanya hivyo ili kupunguza gharama kwao na urasimu hivyo wameona mzigo wa gharama zao zihamie kwenu
Mhhhh!!!,Sasa km Serikali inakwepa gharama inawaangushia zigo vijana,hivi hapo si ni kuzidi kutiana Umasikini Kweli?!!!. Aiseee life is not fair.
 
Hakika
Ushauri TU

Usaili unaohusu watu wengi ungeanza kwenye kanda zao halafu wale wanapatikana wangeenda dodoma kwa usail wa awamu inayofuata


Watu wa dsm pwan morogoro ....wafanyie dsm


Watu wa Ruvuma iringa na Mbeya ..wafanyie mbeya


Watu wa mtwara Lindi..wafanyie mtwara

Watu wa geita simiyu mwanza kagera Mara na shinyanga ..wafanyie mwanza


Watu wa Tabora rukwa kigoma .. wafanyie kigoma

Watu wa Arusha manyara Moshi tanga...wafanyie Arusha

Watu wa dodoma singida ..wafanyie singida


Halafu dodoma ibaki sehemu ya mwisho kwenda kumalizia usail wa mwisho

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Ni wengi lakini ni Kawaida sana.

TRA wakihitaji watu 15 wanaita 9,000.

Mambo ni yale yale.
 
Samia kabomoa Maisha ya maskini machinga kigezo usafi wa miji Mungu habagui. CCM iwe makini sana
 
Kazi za Serikali huwaga zinanikirisha sana...
They don't need the skills to get, just your academic certificates, your CV, luck and connection.
 
Mbona hiyo idadi ya walioitwa na jumla ya nafasi zilizotangazwa ni nzuri, hapo kwa wastani kila nafasi moja inagombaniwa na watu 60 kitu ambacho sio mbaya sana.

Hivi unaijua ajira portal wewe? Wanatangaza nafasi moja wanaita watu 300.
 
Wakuu mmeshasikia usaili utakaofanyika 8/1/2022. Usaili huu utajaza jiji la Dodoma umati wa watu 12,377 hao ni wa nafasi ya afisa uchunguzi tu.

Kuna nafasi ya afisa uchunguzi wasaidizi wameitwa watu 9,729 kwa nafasi ya watu 150 tu.

Jumla ya wasailiwa inakuwa 22,106 kwa ajili ya jumla ya nafasi 350 tu. What a waste of time and money. Kumbuka vijana hawa wengi wao wa naomba pesa ya nauli, chakula na kulala Dodoma. Hawakuwa na njia nyingine ya kuwachuja ili ipatikane cream ya watu angalau 3,000?
Nafasi nyingi zimeishajazwa na watoto wa vigogo
 
Subiri TRA utajua hujui poleni sana madogo ila ipo siku mtachomoa tuu kila la heri.
 
Back
Top Bottom