Jamani SIMU yangu..!

Jaribu yafuatayo;
4. Huenda una tabia ya kutuma messages to the air. Acha na uwe unatuma kwa mhusika tu.

5. Huenda pia unayemtumia hizo messages humpendi, hivyo anakuboaboa. Mtafute mteja usiyemmaliza wala kumbakiza.
Mhh!!! Hii kali
 
Pole sana kula mboga za majani karanga na ufuta..vitasaidia ku recharge simu yako kwa haraka zaidi
 
Nina simu yangu, si kubwa wala si ndogo. Tatizo kila nikiitumia kutuma meseji, inatuma mara moja, na chaji inaisha hapo hapo. Nikisema niichaji, inachukuwa muda kujaaa...... Nifanyaje.....!!!???
Wee,tafuta mkuyati fasta,simu isije ikazima kabisa!!
 
imekula kwake hana ishu basi itafika wakati na vocha anaweka kwa sauti
 
nawapongeza wachangiaji wote kwa kutumia lugha ya kistaarabu zaidi kuendana na maadili ya MTANZANIA HALISI...hongereni....!mtandao si salama sana kwa watoto wetu DOT COM....hivyo baadhi ya lugha zinasaidia kutowapotosha....!CONGRATS.....!
 
Kunywa supu ya pweza nayo inasaidia kuongeza chaji kwenye simu; kama una uzito mkubwa jaribu kuupunguza kwa kufanya mazoezi; mazoezi kwa kila mtu yanaweza kusaidia simu iweze kufanya kazi vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom