Jamani SIMU yangu..!

Kaisiki

Member
Mar 12, 2010
23
0
Nina simu yangu, si kubwa wala si ndogo. Tatizo kila nikiitumia kutuma meseji, inatuma mara moja, na chaji inaisha hapo hapo. Nikisema niichaji, inachukuwa muda kujaaa...... Nifanyaje.....!!!???
 
kijana simu gani kwani hii isije ukawa na wewe ndo wale wale wa fasihi.....
sasa simu na JF Dr.......mbona cant get it
 
kijana simu gani kwani hii isije ukawa na wewe ndo wale wale wa fasihi.....
sasa simu na JF Dr.......mbona cant get it
Sisy bht si ajabu ya kichina.

Wewe uanyeuliza hili swali kuna vibanda vya fundi simu wengi tu wanaujuzi na simu za aina yote jaribu kuwaona, utasaidika.
 
Sisy bht si ajabu ya kichina.

Wewe uanyeuliza hili swali kuna vibanda vya fundi simu wengi tu wanaujuzi na simu za aina yote jaribu kuwaona, utasaidika.

Lily ana simu yake si kubwa wala si ndogo.........hivi size nayo inaweza kuleta technical problems kwa simu????
 
Hivi kwana ulibisha hodi kweli maana

Join Date: Fri Mar 2010
Posts: 2
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
 
Kanunue chaja za kichina au hata za made in Tz maana hapa zinatengenezwa pia mfano kifaru, power formula
au nenda kwa phone dr?
 
Inabidi uichaji kwa Mkuyati au dawa za wamasai.Ukitumia Viagra angalia usichanganye na kahawa.
 
hiyo simu gani??
Mbona kama mambo ya kikubwa vile???
Jamani mtoa mada ametumia tafsida kupita kiasi ndio maana wengine si rahisi kutambua mapema. Ngoja nifafanue kidogo,

Simu = male organ
Message = sperm
 
Jamani mtoa mada ametumia tafsida kupita kiasi ndio maana wengine si rahisi kutambua mapema. Ngoja nifafanue kidogo,

Simu = male organ
Message = sperm
Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Sasa nimekupata mkuu.... Sasa Kaisiki wewe unaipenda, au?
 
Nina simu yangu, si kubwa wala si ndogo. Tatizo kila nikiitumia kutuma meseji, inatuma mara moja, na chaji inaisha hapo hapo. Nikisema niichaji, inachukuwa muda kujaaa...... Nifanyaje.....!!!???
Kaipake ileeee ya kichinaaaaaaaa
 
Kaisiki nimekuelewa dada yangu! Na nina matumaini unaipenda sana hiyo simu yako na ndiyo maana upo nayo mpaka leo...
Ushauri wangu ni kuipeleka hiyo simu kwa fundi mzoefu ang'amue tatizo au hata ikibidi akupe njia mbadala za kuitumia hiyo simu yako ili isiishe charge mapema. Kila la kheri...
 
Nina simu yangu, si kubwa wala si ndogo. Tatizo kila nikiitumia kutuma meseji, inatuma mara moja, na chaji inaisha hapo hapo. Nikisema niichaji, inachukuwa muda kujaaa...... Nifanyaje.....!!!???

Jaribu yafuatayo;
1. Mara nyingi, hiyo simu hutumia betri mbili, huenda moja imefeli. Basi uitafute namna ya kuifufua iliyofeli.

2. Huenda simu hiyo inatumika kutuma message kwenda destinations nyingi. Basi punguza matumizi na uwe na client mmoja tu. Utakuwa ukituma message moja kwa siku, basi umemaliza kazi hadi kesho tena.

3. Mshauri client wako akuingizie credit za kutosha na iliyosahihi kwa faida yake.

4. Huenda una tabia ya kutuma messages to the air. Acha na uwe unatuma kwa mhusika tu.

5. Huenda pia unayemtumia hizo messages humpendi, hivyo anakuboaboa. Mtafute mteja usiyemmaliza wala kumbakiza.

Kwa kufanya hayo, labda simu yako itakuwa na uwezo wa kutuma messages kadhaa bila kuishiwa na chaji. Au basi itakuwa inatosheleza mahitaji yako. Vinginevyo, jaribu kuwa na tabia ya kutembea kwa miguu ili kufikisha ujumbe wako kwa client wako bila wewe kutuma message.
 
Back
Top Bottom