Jamani Shonza nakupenda...

Jamani Shonza nakupenda...

pole sana kwa matatizo. Mum anaendeleaje?
juzi kuamkia jana alizidiwa kidogo, ila hajambo tena anapambana na hajakata tamaa! NI DHAMBI KUBWA KUKATA TAMAA! nampongeza kwa hilo, waliomuona wananielewa nini naongea.
 
Tokea nimuone huyu dada kwa mala ya kwanza live, nafsi yangu imetokea kumkubali sana na kuhitaji awe naniliyu wangu.
Juliana Shonza popote pale ulipo nakuomba uje pande izi japo tuzungumze tu ka nafsi kangu katatulia.

Unaweza kumpa ukuu wa wilaya..!? kama huwezi andika maumivu.
 
Last edited by a moderator:
juzi kuamkia jana alizidiwa kidogo, ila hajambo tena anapambana na hajakata tamaa! NI DHAMBI KUBWA KUKATA TAMAA! nampongeza kwa hilo, waliomuona wananielewa nini naongea.

Yesu atampa uponyaji. La muhimu ni kuendelea kumwombea. Long distance inasababisha hata nishndwe kuja kumjalia hali..
 
hehehehe jamani nawamissije pia acha tu,ikiwezekana nipe wote ili wasiwe mbali mbali
hata kama pope kajiuzulu sio tena tukose maadili, tutakuwa hatuna tofauti na ng'ombe! mmoja niitakupa, tena sitaki mahari, nakupa bureeeeeeeee! au nikuwekee dada yao?? chagua mapema maana watu wananiPM maombi kila siku ya kuwapata twins.
 
Yesu atampa uponyaji. La muhimu ni kuendelea kumwombea. Long distance inasababisha hata nishndwe kuja kumjalia hali..
amen myb kaka!! umpendaye huko hajambo?? angalia usimsaliti kama masalia!
 
FP usinitoe maudenda, na Mtambuzi yupo bussy weekend hii, mzee wa kuparty, andaa basi nyingine ya pasaka nije nijifie huko, mi miss u FP ila najua ipo siku tutaonana.
soon my dear, soon.....
mi miss you too
maudenda yasikutoke kwanza dear, yasubirie tufanye kwanza toba
 
Heheheee... Karibu sana kwenye ka-jiji ketu huku!!
Ila ukija huku,ujue fanta zitakuhusu tu!!
Na ole wako nije Dar uniletee Ulabu,NITAKU....
mmmhhhhh hivi yale maeneo kule bondeni nyumba za kulala wageni sh ngapi?? nataka nijue mapemaaaaaaaa sitaki kufikia kwa Yummy ananibania sana, na atafikisha habari kwa mnoko Asprin. tutaenjoyjeeeeee??
 
Last edited by a moderator:
soon my dear, soon.....
mi miss you too
maudenda yasikutoke kwanza dear, yasubirie tufanye kwanza toba
ni kweli dadangu, we ni mmoja wa wale wateule wallahi!! heri yako hata umekumbuka toba! wengina hata taarifa hawana kama leo ni ash wednesday.
 
ni kweli dadangu, we ni mmoja wa wale wateule wallahi!! heri yako hata umekumbuka toba! wengina hata taarifa hawana kama leo ni ash wednesday.
ha haaaa, ndo maana tupo wengine hapa kazi yetu kuombea na wengine
 
hata kama pope kajiuzulu sio tena tukose maadili, tutakuwa hatuna tofauti na ng'ombe! mmoja niitakupa, tena sitaki mahari, nakupa bureeeeeeeee! au nikuwekee dada yao?? chagua mapema maana watu wananiPM maombi kila siku ya kuwapata twins.

Heri dada yao bhana,aaah sasa mpaka twin afike umri wa kuolewa si nitakuwa nimezeeka
 
cacico sasa mbn unamtisha mwenzako..muache akang'oe kigoli....hahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
cacico sasa mbn unamtisha mwenzako..muache akang'oe kigoli....hahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom