Jamani Shonza nakupenda...

Jamani Shonza nakupenda...

Nipo best!!
Naona ndugu nakufa mpenzi wangu kaamua kugombea mali na mkulu,sijui atafanikiwa!!
Hahahaaa...
Miss you mingi!!
muache amchezee sharubu simba, kama hajapigiwa na simu kabisaaaaa, chezeiya chakula ya wakubwa weye?? u don miss me the way i do, nitakuja mitaa ya kwenu, nitakushtua!! si nilikwambia nilikuwa nakaaga mitaa ya huko?? nitakuja tena, nitakutafutaje?? ila nakunywa ulabu kama ilivyo ada, usiniletee mambo ya fanta kisa umeokoka, inahuuuu??
 
hiyo mitaa ya soweto kuna dili gani?
Miss u much
hhhhheeeeeeeiiiiiiiiyyyyyy Excellent umepotea sana, umenitupa hata upande ule mwingine lol!! hujambo lakini mdogo wangu, twins wanakungojaje?? utaoa mmoja wallahi, mama mtu nishaamua na hakuna wa kupinga! ila usije msaliti tu kama MASALIA!
 
Last edited by a moderator:
muache amchezee sharubu simba, kama hajapigiwa na simu kabisaaaaa, chezeiya chakula ya wakubwa weye?? u don miss me the way i do, nitakuja mitaa ya kwenu, nitakushtua!! si nilikwambia nilikuwa nakaaga mitaa ya huko?? nitakuja tena, nitakutafutaje?? ila nakunywa ulabu kama ilivyo ada, usiniletee mambo ya fanta kisa umeokoka, inahuuuu??

Heheheee... Karibu sana kwenye ka-jiji ketu huku!!
Ila ukija huku,ujue fanta zitakuhusu tu!!
Na ole wako nije Dar uniletee Ulabu,NITAKU....
 
muache amchezee sharubu simba, kama hajapigiwa na simu kabisaaaaa, chezeiya chakula ya wakubwa weye?? u don miss me the way i do, nitakuja mitaa ya kwenu, nitakushtua!! si nilikwambia nilikuwa nakaaga mitaa ya huko?? nitakuja tena, nitakutafutaje?? ila nakunywa ulabu kama ilivyo ada, usiniletee mambo ya fanta kisa umeokoka, inahuuuu??
tusubiri kwaresma ipite then tutaanzana na Dompo siku ya pasaka, au unasemaje?
 
Uoga ni dhambi, mie siwezi kuogopa kueleza hisia nzangu kisa nimuogope mtu flani, kwenye hii dunia namugopa Mungu na mitume wake. Juliana Shonza nakupenda sanaa, siwezi sikiliza maneno ya watu juu yako, na pia hata jela mie siogopi kama liyumba na rage walifungwa sembuse mie
 
Last edited by a moderator:
hhhhheeeeeeeiiiiiiiiyyyyyy Excellent umepotea sana, umenitupa hata upande ule mwingine lol!! hujambo lakini mdogo wangu, twins wanakungojaje?? utaoa mmoja wallahi, mama mtu nishaamua na hakuna wa kupinga! ila usije msaliti tu kama MASALIA!
hehehehe jamani nawamissije pia acha tu,ikiwezekana nipe wote ili wasiwe mbali mbali
 
Uoga ni dhambi, mie siwezi kuogopa kueleza hisia nzangu kisa nimuogope mtu flani, kwenye hii dunia namugopa Mungu na mitume wake. Juliana Shonza nakupenda sanaa, siwezi sikiliza maneno ya watu juu yako, na pia hata jela mie siogopi kama liyumba na rage walifungwa sembuse mie

Unajifanya mbishi eeh!!
 
Last edited by a moderator:
Tokea nimuone huyu dada kwa mala ya kwanza live, nafsi yangu imetokea kumkubali sana na kuhitaji awe naniliyu wangu.
Juliana Shonza popote pale ulipo nakuomba uje pande izi japo tuzungumze tu ka nafsi kangu katatulia.
samahani sijui naruhusiwa kuweka namba zake hapa jf? maana ndg yangu wateseka kwelikweli! naomba uniombee ruhusa kwa moderator
 
Back
Top Bottom