Jamani Shonza nakupenda...

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Tokea nimuone huyu dada kwa mala ya kwanza live, nafsi yangu imetokea kumkubali sana na kuhitaji awe naniliyu wangu.
Juliana Shonza popote pale ulipo nakuomba uje pande izi japo tuzungumze tu ka nafsi kangu katatulia.
 
Last edited by a moderator:
Juliana Shonza , naomba usikilize kilio changu, naombe uwe huru katika maamuzi utao toa, kwasababu una haki ya kukubali na kukataa. Unaweza hata kuni PM namba yako ili tutafutane tuongee kwa undani.
Mambo ya itikadi na maswala ya siasa tuweke kando kwa mda.
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu! Mie nina mpenda kweli na nina hisia za kweli. Kama hatojibu sitokua na jinsi zaidi ya kuvumilia maumivu yangu.
umenikumbusha enzi nakua kulikuwa na wimbo ulikuwa unapigwa RTD saa nane mchana... ati mlisema haolewi mbona sasa kaolewa...... Juliana Shonza ​akijibu hii request ni-pm mtandao wako nikutumie vocha.
 
Last edited by a moderator:
kijana ngoja nikusaidie ndiye huyu?


au huyu?


au huyu?




yupi?
 
cacico ! mie nampenda sana Juliana Shonza japo ana mapungufu yake, ila nae ni binadamu sio malaika.
best upo?? umemuona juliana shati halijamtosha vizuri kifuani?? akija mitaa ya soweto muazime pini, plzzzzzzzzzzz!! nimekumissije??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…