ZInduna Mamito, wapi sasa nataka kuja na mashostito Kibweka, ndetichia, Kibanga Ampiga MKoloni‎, MtamaMchungu‎, TUKUTUKU, Mfamaji‎, El Toro‎, figganigga‎, Nyundo Kavu‎, NOT ENOUGH‎, Pdidy, Ujengelele‎, mmbangifingi‎, Saint Ivuga, kingwipa1, KELVIN GASPER...
Ikiwezekana leoleo!eeeeh bwana mafindofindo yamenikaba koo hata huwezi ongea na cm....
imekwendaje upande wako
itabidi tutafutane kwa mama Neema aise
Nilijaribu kuwataja lakini majina yao yakaharibu vina, nilijua tu Mwita25 atamaindi, maana hana dogo!
Mwanaume mlalamishi kaa nini sijui.............. Ghubu tu!
huyo ma bujibuji ndio nani?halafu bebii hakuja mbona tupo naye machame????
Lakini pia wapo walionitumia salaam za pole kupitia simu yangu ya BalckBerry, mfano Shostito Cantalisa ambaye alikuwa pamoja na Bebii walinitumia salaama wakinitaka ni-Badili Tabia na kuwa Mwanajamiione wa kutunza mazingira ili kuepuka maradhi, walinishauri niwasiliane na The Boss mshauri wa mazingira na afya kwa ajili ya kupata msaada wa kitaalamu juu ya utunzaji wa mazingira na uangamizaji wa mazalia ya Mbu. Nilipowasiliana na The Boss aliniambia yuko kikazi Mkoani Katavi na akaniahidi kumtuma Rejao ambaye yuko Moshi kwenye matambiko atakapo rudi awasiliane na mimi.
Ikiwezekana leoleo!
Unajua miye sijapata yale makitu tokea siku tulipotembelea kilabu cha crocodile aka mamba!
Nilijaribu kuwataja lakini majina yao yakaharibu vina, nilijua tu Mwita25 atamaindi, maana hana dogo!
Mwanaume mlalamishi kaa nini sijui.............. Ghubu tu!
Wana JF wa Dar wachoyo ka nini, naona mwaalikana kwa mafumbo tu hapo!
Nyani Ngabu nilimuhisi lakini nilijaribu ku-figure out nimchomekee wapi, Jina lake nalo utata mtupu, ningekuwa nazungumzia kilimo cha Karafuu cha kule kwetu Pemba, labda ningepata mahali pa kumuweka maana kule kuna Komba na Mbega wengi sana, ingekuwa rahisi kumtaja Nyani Ngabu.Je, wakati unamhisi Mwita25, Nyani Ngh'abu hukumfikiria? Yaani omba Mungu awe na mabox mangi Leo asipite hapa! Akipita itakubidi tu ufanye edit kwenye original version.
Soma vizuri uelewe, kwa taarifa yako najua wachaga wote wameenda Moshi kutambika, na ndio maana nikasema Cantalisa na Bebii waliwasiliana na mimi kupitia simu yangu ya Blackberry. Sijasema kuwa walikuja kuniona.LOL
Mwita bana......
wakati mwingine tunahitaji kuondoa stress na kufurahi.....
hata kama ID zote zake....si wakati wake huu.....
Njoo mwaya Zinduna tule makange.....nipo hapa Rose Garden nazimua vya jana.....
mkuu mbona jamaa anatuchanganya? alisema eti ID ya BEBII wanaihack so sasa hivi atakuwa anatumia ID ya smile eti ndo aliyopewa na INVISBLE. je hapo kuna ukweli? hata hivyo kwenye list ya marafiki zangu bebii amebadilika kuwa smile. Mia
Mkamate Preta muje naye yale makitu yapo kama katoni nne hivi...lolusijali ni mning'nio wa jana....karibu kwa mama Neema
kama vile nakuona mwayego na KITOCHI chako hapo, mtoto mbaya weye hata kuaga, nilijifanya mtabiri nikabashiri kuwa umeenda kwenu Uchagani, kumbe kweli, Usisahau kuniletea Mdizi nikapande huko kwetu Pemba.Hahahaha!umenifurahisha sn mamito hiyo makitu ulivyoipangilia iko poa sn!umekuja wakati mbaya niko moshi kwetu natambikiwa mpnz ningekua dar ningekuibukia ulipo lol!nashukuru kupitia blackberry umepata ujumbe wangu,naendelea kushusha mbege taratiiibu!