CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Yaliyo nikuta leo ni makubwa nimepanda basi fulani kutoka Mwanza kuelekea Dar. Niliambiwa ndilo linaaminika. Tulipofika Shinyanga disck za tairi la mbele zikawa zimeharibika. mafundi walitumia masaa mawili kufix ze problem.
Tumefika Singida ze same thing happenned mpaka wa saa huu tuko Singida tunasubiri mafundi wafix tatizo.
Hapa kufika kesho badala ya saa mbili usiku.
Pole mkuu.... afu mbona hukupita Ndabaka???