Jamani nini dawa ya mwanamke mkorofi?

Jamani nini dawa ya mwanamke mkorofi?

Vipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...
Hapo kwenye Red, Watu8 nimecheka mpaka basi. u made my day! kumbe yale wanayosema kina wifi wana-control ndoa za kaka zao sometimes huo ukorofi unatumika kama ''positive therapy' sio?
 
huu ndio mfano wakuigwa EEEEEEEEEEE, kunena kwake ,kutembea kwake, kunaonyesha ni mwanafunzi wa YESU

Utakuwa una ugonjwa wewe......!!!
Basi watu wasinywe dawa wakipata matatizo.....!!!
 
nenda pale chuo kikuu cha dsm/udsm uliza kitengo cha psychology au sociology utapata washauri wazuri sana

au kama dini yako inakuruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja mwambie mapungufu yake tena akishindwa kujirekebisha mwambie unaoa mke wa pili mwenye sifa zilizopungua kwake/ambazo yeye hana ikiwamo hii ya tabia mbaya na dharau kwa majirani na ndugu.
 
chapa makofi mpaka ajambe,au nawe uwe mkorofi sana,ikishindikana fata ushauri wa watu nane.
 
Ulilazimishwa kumuoa au ulimchagua mwenyewe?? Dawa ni kuvumilia au kua mkorofi zaidi yake!
 
Ukorofi kaanza lini? Kama mwanzo hakuwa hivyo basi nakuhakikishia there is something behind her ukorofi! Nakushauri mpeleke kwenye maombi na mtaftie psychologist huenda ukatatua tatizo lake. Angalizo pia kwako, huenda wewe nawe ndo sababu ya ukorofi wake, jichunguze pia na kisha uchukue hatua.

Yaani nakubaliana na ushauri huu. Jichunguze na wewe mme.
 
ushauri mwingine kama nguvu za giza
ila mimi nniliwahi kukutwa nahli hii mpaka nikatamani kuiacha ndoa nijaribu busara zote ikawa ngumu nikaamua kuwa mbogo nilimshushia kipondo hatasahau ,nilijickia vibaya kwa sababu nilikuwa nimejiapiza kutompiga wife kamwe lakini baada ya hapo heshima ilirudi 100% mpk leo tunaishi vizuri,ila sikushauri ufanye hivyo mbele ya watoto
 
Inategemea na sababu za yeye kuwa mkorofi,huenda wewe na ndugu zako mwamsakama mtoto wa watu mpaka saa zote anakuwa na stress na kila anayekatiza mbele yake anamwona mbaya,nadhani wewe na ndugu zako mnahusika
 
Dawa yake ndogo sana. Ni mimba kila mwaka. Yaani bandika bandua.
 
mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini sijui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.

aksanteni

mtafutie mke mwezie na jitahidi ajue uone atakavyobadilika
 
Vipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...

hiyo ya performance nasubiri majibu yake then nitarudi
 
maybe atakuwa anamashetani jaribu kumpeleka katika maombi kama ni mkristo na kama muislam mpeleke kwenye dua ujaribu na hayo:A S cry::A S cry::A S cry:
 
Hapo kwenye Red, Watu8 nimecheka mpaka basi. u made my day! kumbe yale wanayosema kina wifi wana-control ndoa za kaka zao sometimes huo ukorofi unatumika kama ''positive therapy' sio?
hahahahahha chizi huyo yan sina mbavu
 
Back
Top Bottom