KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,769
- 39,536
Nenda kampime akili huyo mkeo.....inawezekana ni mhitimu wa MILEMBE....
[FONT=arial
black]Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa
tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na
kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto
pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini sijui
ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto
kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia
anisaidie.
[/FONT] Aksanteni
ushauri wako wa kwanza nimeuoenda ila achizi wewe :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Ushauri wako wa pili nimeupenda.
Vipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...
Hapo kwenye Red, Watu8 nimecheka mpaka basi. u made my day! kumbe yale wanayosema kina wifi wana-control ndoa za kaka zao sometimes huo ukorofi unatumika kama ''positive therapy' sio?
hiyo ya performance nasubiri majibu yake then nitarudi
wewe watu8 inaelekea adabu kwa mkeo huna na unapenda kutumia ndugu zako wakusaidie kukusaidia kumnyanyasa mkeo.
nawe siku moja utaletewa shemeji yako mkorofi toka ukoo wao akuchambe ujione si kitu si chochote. alaaah ebo. jitambue bwana
Ukivuna msimu huu kwenye biko ebu tenga pesa kidogo ya mahari.Alafu kuna watu wananishauri kuoa
Ameolewa?Haka kastor kanafanana na kastor Ka Dada yangu yuko mkoa wa Kilimanjaro anamambo kama hsya